Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,392
- 5,636
Hello wana JF,
Ninahangaika kutafuta heater au kifaa kinachoweza kuongeza joto nyumbani. Kama ilivyo AC inavyoweza kufanya baridi.
Nimepata ambayo ina-function mara mbili, inaongeza barid na joto, ila ni gharama sana.
Nisadie connection jinsi ya kuipata au kufahamishwa ni sehemu gani wanauza.
Ahsante.