heat insulation material

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,791
8,933
Ninahitaji Heat insulation materia ni wapi naweza kupata?

images

6841706.jpg
 
Ninahitaji Heat insulation materia ni wapi naweza kupata?

images

6841706.jpg
Unataka za aina gani? Hawa ni manufacturers wa expanded polystrene
Pm for more info
Mega Woodcraft Products (T) Ltd.

Plot No. 508

Bungoni, Ilala,

Dar Es Salaam
 
Unataka za aina gani? Hawa ni manufacturers wa expanded polystrene
Pm for more info
Mega Woodcraft Products (T) Ltd.

Plot No. 508Bungoni, Ilala,

Dar Es Salaam

mkuu ninayo tafuta ni aina ya Calcium Silicate Insulation Board

Haya materio some time yanakuwaga ndani ya vyombo kama fridge yanasaidia kuzuia joto isipotee na kama ulisha ona baadhi ya vyombo unakuta limewekwa kati kati
 
Ninahitaji Heat insulation materia ni wapi naweza kupata?

images

6841706.jpg
Mimi nimetumia sana hivi vitu, kama unahitaji msaada jieleze vizuri...unataka kufanyia kazi gani, mxm temperature ni ngapi? na ni direct contact na heat au la? jaribu kuelezea unaweza ukanunua halafu ukakuta sustainability ya temperature iko low, hiv unataka kutumia kwenye nini ndio utapata jibu sahihi mkuu... you have to know thermal conductivity ya insulators ili upate majibu mengine kama thickness n.k hizo bricks mostly zinatumika kwenye furnancena temperature inayo sustain ni above 100deg. centgrade.
 
Unataka za aina gani? Hawa ni manufacturers wa expanded polystrene
Pm for more info
Mega Woodcraft Products (T) Ltd.

Plot No. 508

Bungoni, Ilala,

Dar Es Salaam

mkuu ninayo tafuta ni aina ya Calcium Silicate Insulation Board

Haya materio some time yanakuwaga ndani ya vyombo kama fridge yanasaidia kuzuia joto isipotee na kama ulisha ona baadhi ya vyombo unakuta limewekwa kati kati

Kiongozi usichanganywe na jina (woodcraft), hao jamaa nawafahamu piga 2860730/733
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom