Heartbreaking! Read Bollywood actress Jiah Khan's suicide letter ..

Heartbreaking! Read Bollywood actress Jiah Khan's suicide letter ..

ila hakuna adhabu kubwa kwa mwanamke kama kumpenda mwanaume huku duniani aisee..hata biblia imeagiza wanaume ndo watupende ukikiuka hili agizo utajutaje? unamnunulia dada wa watu zawadi while dada yako hata hajulikani? teh kwi kwi kwiii
ha haaa, kujipendekeza muhimu, lol!
nashukuru enzi hizo sikuwa hata na ya kumnunulia huyo ndugu zawadi ya maana. ni post cards tu, tena mara nyingi nilikuwa nachora mwenyewe, ha haaa...... so childish yet so romantic..... mwenyewe anazo hadi leo basi akiamuaga anazikurupua huko alikozificha na kuanza kunitania nazo
 
ndo maana mi napenda wazee waliojichokea na maisha sasa full utulivu
......Ha ha ha ha...smile kwa wazee pia napo noma....sema watu ambao wapo matured...
 
inaudhi kweli kuona au kusikia mtu kautoa uhai wake kisa mapenzi.....ila tusimseme sana coz hakuna maumivu makali kama maumivu ya moyo,alichokosea ni alipenda kupita kiasi mpaka kusababisha kifo chake....apumzike kwa amani!
 
kweli ni kajinga.......inauma pia kupendwa usipopendwa........lakini kuzika wengi wa dizaini hii kutaendelea tu!!! unless they open up and seek advise!
 
ha haaa, kujipendekeza muhimu, lol!
nashukuru enzi hizo sikuwa hata na ya kumnunulia huyo ndugu zawadi ya maana. ni post cards tu, tena mara nyingi nilikuwa nachora mwenyewe, ha haaa...... so childish but so romantic..... mwenyewe anazo hadi leo basi akiamuaga anazikurupua huko alikozificha na kuanza kunitania nazo
mimi nikikumbuKA VITU NILIVOMNUNULIA X WANGU ROHO INANIUMAJE ..YAANI KANIFANYA NIWE BEDUI MAANA HUYU WA SASA HATA PIPI GOLOLI SIWEZI...KAVU KAVU
 
......ha ha ha ha...smile kwa wazee pia napo noma....sema watu ambao wapo matured...
kuna wazee mcharuko ila ambao ni flavour zangu hapa hawafurukuti kimyaa!
 
Yani alikua anadate mdogo ake akitegemea nini hasa???

Dogo mwenyewe anaonekana mboga 7 so hata ubongo wake ni bongo lala hayo mambo ya kumpa mwanamke tension ayawezee wapi
 
mimi nikikumbuKA VITU NILIVOMNUNULIA X WANGU ROHO INANIUMAJE ..YAANI KANIFANYA NIWE BEDUI MAANA HUYU WA SASA HATA PIPI GOLOLI SIWEZI...KAVU KAVU
ha haaa, kaazi kweli......
ngoja nijipange Ijumaa nitatoka na bandiko, tupeane miongozo......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Biggest mistake ever! Whoever lied to that beauty kuhusu hiyo statement alimkosea haswaa! In no time jamaa ataanza kujirusha upyaaa.

Cc: all ving'ang'anizi wa mapenzi. Fanya kitu hata kama ni kutoa mimba kwa sababu tuu unataka kufanya hivyo. Be selfish mara laki 8!
View attachment 97279

No other woman will give you as much as I did or love you as much as I did. I can write that in my blood...

....
 
kajinga kweli, kameniudhi kweli kweli, young&beautiful/career/future bomba, kalikuwa kana yake mengine huko, anaacha kuruka na wa age yake anaruka na tuvijana damu mbichi? mie hata chozi msukuma analioneaga kwenye matatizo, msiba etc, hajawahi kunikera/kuniudhi akaona nimemtolea chozi, ntakuwa na wazimu aisee, ndio ije kujiondoa kabisaaa? aisee maisha matamu bwana, kesho mkaka anadunda na sweet 18, mxsiii.

mwenyewe kamenichosha yaani kujiua kwa ajili ya mtu wakati tayari kalikuwa kana future yake kenyewe huyo mwanaume mwingine labda wangekutana Hollywood na si Bollywood tena
 
i feel sorry for her, she was young and beautiful but her love to him reached her where she is any way i cant judge her as because of depression and stress the only way she thought at that time was to kill herself and for sure she didnt deserve that. katika mapenzi age is just a number so dont blame her for loving a young boy.
 
maneno yanauma aliyoandika, but naye alikuwa mtoto pia maana hayo aliyokuwa nategemea toka kwa hako kwa bwana ni makubwa wakati ka bwana kenyewe kadogo sana yani si ajabu hata hakana commitment ndiyo maana unaona anasema ni ka mtu ka kuparty tena katoto ka tajiri na mtu famous.
dada aliingia choo cha kiume aisee
 
Mh kumbe uzuri kweli si akili. Pole za wazazi wake maana i am sure , huyo mgane wa miaka 21 hana hata fahamu!
Kwakweli haya yote ni mafunzo kwetu sote. Tunaweza wengine tukamcheka na kumbeza lakini naamini kwa kiwango cha kutosha tu, kuna wengine wetu tulikaribia huko.

Maisha ya mapenzi ni hatua kwa hiyo ngoja tu tuendelee kukaza mwendo. Hakuna mtu anayedeserve uhai wa mwenzie.

Mi mwenyewe hapa majeraha kibao, nakazana tu kuyafifisha na lotion ya positivity lakini bado natumai! Naamini iko siku, nitapenda nipendwapo hata kama umri umesonga.
 
ujue hii dunia ilishakuwa pembe nne ukiishi na principle za dunia duara utakufa siku za zako kama bibie huyu.
mimi nilipoachwa kwa kweli niliumia sana...nililiaje ..nilijichukiaje hata kuoga nilikuwa sitaki ... ila nikaja kuona ni upuuzi..nikajikomboa na ujinga ule wa kumthamanisha mtu asie deserve hata kinyesi changu duniani huku...kumbe maisha ni matamu balaa ukikaa na amani moyoni mwako bila mtu anaekupa stress! yaani angejua huyu bibie ambavyo angefaidi...
nimekupendaje, maisha mafupi tena matamu. na utamu wenyewe kila mtu ana haki kuupata, we better be sress free.
 
rip bi dada. lkn mmke kujiamini bhana, na uzuri wote huo bado alifikiria asingepata mwenza wa ukweli? akili mukichwa, sijui tuombe nusra ya Allah lkn mmmhu, kujiua nehi.
 
nimekupendaje, maisha mafupi tena matamu. na utamu wenyewe kila mtu ana haki kuupata, we better be sress free.
ehehee matamu sio kidogo shosti kufa tutakufa lakini tusubiri wakati wa bwana..
 
Nakubaliana kwamba age is just numbers!!! But when it comes to love affair achana kabisa mwanamke date mwanaume mdogo kama unafikiria longtem relationship. Kama ni short run it can be Ok ila nayo hapana. Kwa utafitii mdogo wanaume 18-35 nasema wanapomchukua mwanamke mkubwa kwao kimri ni tabu sana hasa kama wamepishana kuanzia 5 years. Mahusiano yanaweza kudumu kiasi kwa wale 35 plus na wanawake older kidogo na inadumu vizuri zaidi kwa wale wanaume 40s dating a bit older women. Mambo mengine yanatokea kutufunza.
 
ehehee matamu sio kidogo shosti kufa tutakufa lakini tusubiri wakati wa bwana..
apo chacha. Yani mtu unatamini ata uhai ungekua unauzwa ununue ujilimbizie maisha, wengine ndo kwanza wanuchoropoa kwa hiari yao. Inatishaaaaa
 
mimi hata kama nimemzidi lisaa tu siwezi kudate nae mi nataka anizidi miaka 5 hadi 20....
Nakubaliana kwamba age is just numbers!!! But when it comes to love affair achana kabisa mwanamke date mwanaume mdogo kama unafikiria longtem relationship. Kama ni short run it can be Ok ila nayo hapana. Kwa utafitii mdogo wanaume 18-35 nasema wanapomchukua mwanamke mkubwa kwao kimri ni tabu sana hasa kama wamepishana kuanzia 5 years. Mahusiano yanaweza kudumu kiasi kwa wale 35 plus na wanawake older kidogo na inadumu vizuri zaidi kwa wale wanaume 40s dating a bit older women. Mambo mengine yanatokea kutufunza.
 
apo chacha. Yani mtu unatamini ata uhai ungekua unauzwa ununue ujilimbizie maisha, wengine ndo kwanza wanuchoropoa kwa hiari yao. Inatishaaaaa
yaani huyu kisa kitoto cha under 18...alitakiwa afungwe eti kwa kubikri kitoto cha watu na kukapa ujauzito
 
Back
Top Bottom