Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Hahahahahahaha umenichekesha sana yaani hadi uchape maiti yake jamani. Unajua kupenda sana kunakuja kwenyewe huwezi kuforce sema walio wengi wakipendwa hawanaga shukrani. Huyu dada ameniuma sana aisee. Yaani hawa watu hawa wanaosababishia wenzao maumivu namna hii unatamani kuwanasa vibao. Jamani bora angetoa nafac kwa mtu mwingine pengine angempata ambae angethamini penzi lake. Yaani hapo kawaza hadi kafikia kikomo kaona bora ajiue tu, sometimes we need to talk and share our trauma with others. At least ukiongea na marafiki wanaweza kukutia moyo. Tujaribu kuwasaidia walio broken hearted , kwa kuongea nao iwapo watatupa nafac hiyo. Mapenzi yanaumiza sana , sikia tu yaani ukiachwa unaziona rangi zote hata dunia unaiona chungu huoni tena thamani ya kuishi .hawa watoto wanaudhi sana aisee
unaweza ukachapa hiyo maiti yake