ila hakuna adhabu kubwa kwa mwanamke kama kumpenda mwanaume huku duniani aisee..hata biblia imeagiza wanaume ndo watupende ukikiuka hili agizo utajutaje? unamnunulia dada wa watu zawadi while dada yako hata hajulikani? teh kwi kwi kwiii
umepoteaje? miss u a lotIt's good to test a guy first before you believe him. But don't let him wait that long
Mtu kuwa suicidal ni condition
alihitaji medical treatment...
kumponda humu ni kuonesha tu ignorance yenu
na masuala haya
haya huyu mwanaume hastahili lawama kabisa
huyu dada alikuwa tu sick....
Jamani wanaume wote hawa! Mie ni UKIMWI tu unaonituliza vinginevyo wangejiua wao, shit!!
Jamani wanaume wote hawa! Mie ni UKIMWI tu unaonituliza vinginevyo wangejiua wao, shit!!
Jamani wanaume wote hawa! Mie ni UKIMWI tu unaonituliza vinginevyo wangejiua wao, shit!!
Mtu kuwa suicidal ni condition
alihitaji medical treatment...
kumponda humu ni kuonesha tu ignorance yenu
na masuala haya
haya huyu mwanaume hastahili lawama kabisa
huyu dada alikuwa tu sick....
kuna mtu aliwahi kuniambia uamuzi wa kujiua hauji ghafla!
ndicho unachojaribu kusema?
is it a procedural activity?
kuna stages?
unaweza kuspot mtu aliye katika hatari ya kujiua?
unaweza kuwa umeshaingia kwenye mchakto wa kujiua na ukaishia kati au ndo ukianza ni ntolee!?
nakuelewaMtu anakuwa tayari na condition inayoweza kumpekea kujiua
pengine hata kabla yuko single na hana mpenzi
si akija kujiua huku ameacha barua akieleza sababu ni mpenzi kafanya hivi
hii huwa sio sababu yenyewe...hii ni mental case problem
wengi wanaokuja kujiua huwa wanazungumza kama utani
kama ahh ikiwa hivi bora nijiue au nitajiua mimi..
au wengine huwa so quiet wakiwa kwenye maumivu
ndio tatizo la kufanya happiness yako itegemee binadam mwenzako!
ndo hasara za kujitumbukiza mzima mzima kwa mwanaume...mapenzi mengine unaweka akiba
rip mwenzetu inauma sana ila ulienda mbali
ungesubiri maybe ambae angefata angekuwa mzuri zaidi
ila mimi hata niachwe vipi sijiui aisee!nitabanana hapa hapa...
yaani huyu kisa kitoto cha under 18...alitakiwa afungwe eti kwa kubikri kitoto cha watu na kukapa ujauzito