Heartbreak 💔

Heartbreak 💔

Just imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha.

Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear future husband kwakweli be responsible lol! Ukitaka msaada ntatoa in anyway possible.

Offline till further notice 💔💔💔.
ma'am slow down, take a sip of water it will cool you down...
 
Just imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha.

Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear future husband kwakweli be responsible lol! Ukitaka msaada ntatoa in anyway possible.

Offline till further notice 💔💔💔.
Umejuaje au wewe mpiga ramli?
 
Una uhakika gani kuwa ana survive kwa kutumia nyota yako?Kabla haujaja kwwenye maisha yake alikuwa haishi?Mbona unataka kujipa umuhimu usio kuwanao.Hebu muache uone kama atakufa😂
 
Just imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha.

Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear future husband kwakweli be responsible lol! Ukitaka msaada ntatoa in anyway possible.

Offline till further notice 💔💔💔.
Njoo tujenge malengo mama
 
1.mwanaume anaetegemea kipato cha mwanamke na anashindwa kusimama kama baba hapo pana shida

2.mwanamke kwenye mahusiano/ndoa Una nafasi yako na ukumbuke kua mwanaume ndio kiongozi wako

3.50/50 hiyo iko effective dhidi ya wanaume wasiojielewa na wasiojua wajibu wao,Kwa mwanaume mwenye kujua nafasi yake huwezi ukaja na hiyo 50/50 then ukatoboa badala yake mtaishia kulia tu humu

4.wewe ni mwanamke,ni mama,dada,shangazi,bibi ibaki hivo

5.sote tunagemeana wanaume kwa wanawake kwahiyo msijipe umuhimu huo,bila mwanaume mwanamke huwezi na bila mwanamke mwanaume hawezi kwahiyo kila mtu acheze nafasi yake na tukubali nature ifanye kazi yake
 
Just imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha.

Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear future husband kwakweli be responsible lol! Ukitaka msaada ntatoa in anyway possible.

Offline till further notice 💔💔💔.
Duuuh ni hatar
 
😹😹😹😹😹 nacheka Kwa sauti anaetegemea ushauri humu ni ngese kweli🚮🚮
 
Back
Top Bottom