Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,936
Na wewe mmojawapo wa kutoa mashambulizi mfyuuuu..! 😹😹Watu hawajui ku comfort!!
Wanaume kwa majibu yenu hayo mnaonekana mapenzi yanawatesa sana 🤣
Na wewe mmojawapo wa kutoa mashambulizi mfyuuuu..! 😹😹Watu hawajui ku comfort!!
Wana attack unakuta mtu upo chumvini uku anatoa comment ya makasiriko🚮🚮Na wewe mmojawapo wa kutoa mashambulizi mfyuuuu..! 😹😹
Wanaume kwa majibu yenu hayo mnaonekana mapenzi yanawatesa sana 🤣
Aaaaaaahhhhhhh umenionea bwana. 😂😂😂. Nikirusha Atomic zangu patakalika hapa kweli??????.Na wewe mmojawapo wa kutoa mashambulizi mfyuuuu..! 😹😹
Wanaume kwa majibu yenu hayo mnaonekana mapenzi yanawatesa sana 🤣
Chumvini hii hii tunayoijua hapa JF au??Wana attack unakuta mtu upo chumvini uku anatoa comment ya makasiriko🚮🚮
😹😹😹 chanaaa nao wana stress za mapenzi..!!Wana attack unakuta mtu upo chumvini uku anatoa comment ya makasiriko🚮🚮
Ndio wapiga deki mpo sema mnajikausha🚮Chumvini hii hii tunayoijua hapa JF au??
Wewe nimekukumbuka, km sijakosea ndie wewe uliyeachana na mkeo? 😹😹Aaaaaaahhhhhhh umenionea bwana. 😂😂😂. Nikirusha Atomic zangu patakalika hapa kweli??????.
Mimi deki nishapiga sana. Kuanzia tiles mpaka Zege. Sana yani ila ndio hivyo nikaishia kuambulia kibuti 😂.Ndio wapiga deki mpo sema mnajikausha🚮
Ahahahahah...sio kuachana, sema kuachwa 😂😂Wewe nimekukumbuka, km sijakosea ndie wewe uliyeachana na mkeo? 😹😹
Bado hujarekava sio kosa lako, lazima ukiona post ya hivi uwe na hasira..! 🤣
Nawapenda wapiga deki kwakweli 😹😹 sema haikua riziki Kwa mkeo😹 ngoja nitafute niisomeMimi deki nishapiga sana. Kuanzia tiles mpaka Zege. Sana yani ila ndio hivyo nikaishia kuambulia kibuti 😂.
Okay, okay, hivi uliachwa? 😹😹😹Ahahahahah...sio kuachana, sema kuachwa 😂😂
Hiki kichomi si kitaniua??Okay, okay, hivi uliachwa? 😹😹😹
Nimejiuliza sana haya makasiriko yote yametokea wapi??
Sasa hapo cha kufanya wewe mchukue Anna mtengeneze maisha kwa mliyopitia kwa wenzi wenu. Au wewe unaonaje?? 😹
Wewe sio kichomi? 😹Hiki kichomi si kitaniua??
Aaahhh mimi mtu mpole sana. Sinaga mambo mengi hata kidogoWewe sio kichomi? 😹
Njoo inbox nikunong'oneze jamboJust imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha.
Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear future husband kwakweli be responsible lol! Ukitaka msaada ntatoa in anyway possible.
Offline till further notice 💔💔💔.
Nb;mm ni mganga so nimejua aache vyupi na nguo zangu
Hata Anna naye hana mambo mengi, tena kasema anapenda kwendewa uvinza na wewe ukasema ndio maeneo yako huko..!!Aaahhh mimi mtu mpole sana. Sinaga mambo mengi hata kidogo
Kanikataa kipensi😹😹😹Hata Anna naye hana mambo mengi, tena kasema anapenda kwendewa uvinza na wewe ukasema ndio maeneo yako huko..!!
Huoni km ni watu mnaofanana tabia ma mitizamo? 😹😹
Sasa ukikosea usipigwe who are you. 🤜 Humu tuJust imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha.
Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear future husband kwakweli be responsible lol! Ukitaka msaada ntatoa in anyway possible.
Offline till further notice 💔💔💔.
Nb;mm ni mganga so nimejua aache vyupi na nguo zangu
Kakuta chuma nacho hakipangiwiumemaliza