Heartbreak 💔

Heartbreak 💔

Anastasia21

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2023
Posts
2,304
Reaction score
5,654
Just imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha.

Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear future husband kwakweli be responsible lol! Ukitaka msaada ntatoa in anyway possible.

Offline till further notice 💔💔💔.

Nb;mm ni mganga so nimejua aache vyupi na nguo zangu
 
Just imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha.

Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear future husband kwakweli be responsible lol! Ukitaka msaada ntatoa in anyway possible.

Offline till further notice 💔💔💔.

Yaani wewe una Nyota yako? Mi mtu akitaja neno Nyota tu Naona kuna walakini.
 
Just imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha.

Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear future husband kwakweli be responsible lol! Ukitaka msaada ntatoa in anyway possible.

Offline till further notice 💔💔💔.

We hauna nyota huo ujinga umeambiwa na shangazi wa JF Jadda
 
kwani kabla ya wewe kuja kwenye maisha yake si alikuwa ana survive tu, so hata ukiondoka ata survive tu... 😀 😀
20250325_031808.jpg
 
Back
Top Bottom