Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Hahahaa chezea nguvu ya umma....wa Tanzania hawakuelewi kabisa wao wameshaambiwa mabilioni yamechotwa...mambo ya capacity charge sijui vitu gani hawajui wao wanachojua ZIMECHOTWA....hata ukijifanya kauzu utatoka tu

lakn tunacheza sindimba bado wanajiuzuru bila kuzirudisha wanakula life mamaae zao.
Hivi watanzania nani ametuloga, ati tuna furahia watu kujiuzulu halafu hatu ulizi fedha za escrow zitarudishwa vipi hii ni akili kweli?Hahahaa chezea nguvu ya umma....wa Tanzania hawakuelewi kabisa wao wameshaambiwa mabilioni yamechotwa...mambo ya capacity charge sijui vitu gani hawajui wao wanachojua ZIMECHOTWA....hata ukijifanya kauzu utatoka tu
Hivi watanzania nani ametuloga, ati tuna furahia watu kujiuzulu halafu hatu ulizi fedha za escrow zitarudishwa vipi hii ni akili kweli?