Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Hapana unakosea mkuu sio kwamba siivi nae labda kama yeye haivi na km
mi am all okay but it doesn't mean kwamba I can torelant ujinga anaofanya
Anaigiza sana maisha n that to me is boring aisee
I understand kwa baadhi ya watu ni poa n I respect that but trust men"always wasiojua ndo hutunisha kifua kama batamzinga"
Anasaka umaarufu mavi sana
Ok,sorry mkuu wewe ni wa kiume au kike
kama ni wa kiume unaidhalilisha jinsia yako kupambana na mwanamke. Mwanaume huwezi kua na bifu na mwanamke,huwezi kua unajibizana na mwanamke huyo huyo kila mada. Hata km yy ana matatizo ila atakaeonekana ana matatizo zaidi ni ww. Km huwez kubadilisha maisha yake na hakuhusu muache aish anavyotaka. Km ww ni mwanaume kua mwanaume.
Kama wewe ni wa kike sawa,maana inawezekana mkawa mnagombea mume au vngnevyo. Ila km mtu hakuhusu u beta leave her alone with her life,afake asifake n yeye maana hakuzuii ww kufanya yako..
Ushauri wangu. Acheni kila mtu aish anavyotaka,aandike atakavyo,ajisifu atakavyo maana hakuna mtu analisha mwenzake hapa.. Km unangoja usifiwe utasubiri sana,karne ya 21 ni kujipa promo mwenyewe..kibaya chajiuza kizuri chajitembeza.