lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,208
- Thread starter
- #81
Its a kind of inferiority complex or superiority complex, but also lack of confidence ndo mara mara nyingi hutanguliza defence mbele kwamba yeye ni bora na anajiamini!!! Ni tatizo la kisaokolojia
Lakini kanuni inasema sifa ni kusifiwa na si kujisifia! Huhitaji kushika bango kuonyesha kuwa wewe ni nani...!!!
HAHAHAAAAAAAAAA! We umenisahau eeeh! Nilivokiwa nakupa kubwa kwenye vithread vyako hadi ukaomba poooooh! Zimeshuka ubora kabisaaa siku hizi sizisomi tena anyway!
UMEITWA UJE USOME HUMU AU KIRANGA CHAKO.?
Saikolojia yako ya bei rahisi ndo inavokudanganya hivo? Ngoja nikupe real saikoloji!
YAANI MIMI MJINI NAKAA KWA JEURI YANGU, BUNDLE NANUNUA KWA JEURI YANGU, TABLET NIMEIPATA KWA KIBRI CHANGU, AFU NIINGIE JF KUANDIKA NACHOJISIKI MIE, KINACHONIPENDEZA MIE NAFSI YANGU COZ SI JEURI YANGU NDO IMENIWEKA HUMU JF? NIKITAKA KUSHIKA BANGO KUONESHA MIE NANI NSHIKA VIZURI, NIKITAKA KUFANYA ROADSHOWS, PR, ABOVE THE LINE, PRINT, DIGITAL CAMPAIGNS KUONESHA MIE NANI HUMU NAFANYA UZURI SI JEURI YANGU NDO IMENIWEKA HAPA.?
Utakuwa ujinga wa hali ya juu na usengerema niingie humu kwa kibri changu afu nifanye mnachotakanyie, KWA MTONYO GANI? Sio lack of confidence ni TOTAL IGNORATION OF YOUR THOUGHTS WHATS OVER! Ni mwendo wa nachojisikia nandika hiko hiko i dont give a F watu kama wewe mnawaza nini! Upo hapo? Sababu kwanza siwajui, pili hamniongezei wala kunipunguzia chochote! HABARI NDO HIO!