He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

Mkund* unakuwasha?

Sijui hata umetokea wapi!

Mwanaume mzima hata aibu huoni, live your life bhana. Unatafuta nn kwa wake za watu, FREE P ushaambiwa.
Sinaga hulka za kutukanana bestii, lkn ukweli umekuingia.
Kua na amani, switch to her side.
 
mi ni mrefu mdogo wangu wa mwisho kanizidi urefu nasema siku naenda kumtambulisha mchumba awe mfupi kuliko mdogo wangu wa mwisho

lara1 katika vitu naomba ni mume awe mrefu namuomba mungu uwwiiiiii unajua watu wafupi wana negetives sana waongeaji,hawajiamini,lakini pia awapendezi na mavazi mengi
MUNGU BABA NAOMBA MUME WANGU AWE MREFU above all
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume mzima hata aibu huoni, live your life bhana. Unatafuta nn kwa wake za watu, FREE P ushaambiwa.
Sinaga hulka za kutukanana bestii, lkn ukweli umekuingia.
Kua na amani, switch to her side.

Usiwe unadandia treni kwa mbele.
 
mi ni mrefu mdogo wangu wa mwisho kanizidi urefu nasema siku naenda kumtambulisha mchumba awe mfupi kuliko mdogo wangu wa mwisho

lara1 katika vitu naomba ni mume awe mrefu namuomba mungu uwwiiiiii unajua watu wafupi wana negetives sana waongeaji,hawajiamini,lakini pia awapendezi na mavazi mengi
MUNGU BABA NAOMBA MUME WANGU AWE MREFU above all

Mungu amesikia kilio chako.

Twende PM.
 
nasoma thread zako sana,najibu mara chache....na najibu kitu kulingana na ulichoandika sio kukufurahisha. kama kufanya hivyo nakgwa HATER sawa.

EMBU SOMA COMMENT YAKO YA KWANZA KAMA UMEJIBU NILOCHOKIANDIKA.?

We si ulikuwa unanifanyia CHARACTER ASSESMENT na kujifanya jaji wa kujua sanaaaa kugroup watu? Sasa ukigrupiwa na wewe UTULIE KAMA UNANYOLEWA NA TOPAZ!

Utanifurahisha kwa lipi labda? MWENYEWE NISHAWAAMBIA NAANDIKA NACHOJISIKIA SIO KUWAFURAHISHA NYIE! Kwa hio HATUFURAHISHANI,! Hahaaaaaaaaaa! (Nacheka kama mazuri vile!)

Na huo mstari wa mwisho DONT BE SO SENTIMENTAL! Being a hater is not that bad! I THINK I NEED NEW HATERS BECAUSE MOST OF MY OLD HATERS HAVE BECOME OBSOLETE, HYPOCRYTICAL AND HAVE BEGAN TO LIKE ME!

Though ukigraduate from dislike to a HATER usiwe HATER MSENGEREMA, BE A TRUE HATER WITH CLASS AND STANDARDS KAMA grafani11. A true hater! Hawezi kucomment uzi wangu hata iweje come january come december! Na mimi siwezi kucomment kwake, wala hawezi kuniquote, mention wala kulike! Namimi ni the same.Mtu akimchamba lazima NITOE LIKES za kutosha! Hahaaaa! Mda mwingine NA LIKE his post just to disturb the peace! (Sometimes you need to check on your haters! Lol!) HE HATES ME I HATE HIM BACK NA HAYUPO IN MY IGNORE LIST! HE IS TOO EXPENSIVE TO IGNORE! Sio unakuwa Hater mara unalike, unajifosisha ku comment, kuniquote wee wakati uko IGNORE LIST sioni unacho andika! AM I THAT IMPORTANT TO YOU? Hahahaaaaa! Mda mwingine nasikitika tu! Ila nashukuru it makes me wonder WHAT WILL BE THE END!?
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaa! MuuLIZE WEWE HUYO AUNT! Afu YUPO IN MY IGNORE LIST!
Mimi wwnzenu KUJIKOMBA KOMBA KUMLAMBA MTU MIGUU SIWEZI JAMANI! Aaaah! Im not that cheap! Mtu akini igonre kidogo tu SIKANYAGI KWENYE THREAD ZAKE, kuna haters nawaheshimu sanaa humu! They are too Expensive kusoma nachoandika lazima wasome hilo halina ubishi atleast wanabakia kama anonymous.
ILA MIBOZO KAMA HILO NDO INANITIA KIBURI SI UTANI, SABABU NAWAWEKA KWENYE IGNORE LIST, NAWAIGNORE, NAWATUKANA KWENYE MAIN TOPIC, NAWA DIS KWENYE COMMENT, NAWACHAMBA, NAWASUTA NAWAFANYA NACHOJISIKIA NA LAZIMA NIKIANZISHA UZI WAJE WASIGN IN, WATOE LIKES ZA KUTOSHA NA KUNIJAZI COMMENTS,! Hapana chezea mimi her majesty the queen myself!

LARA 1 ANA KIBURI NA DHARAU KUMBE MNANIPA WENYEWE CONTROL NA UWANJA WA KUWAFANYA NACHOJISIKIA! If things re,ain like this i will always remain HER MAJESTY IN MMU!
Boya mwenzi eti modes wameniambia siruhusiwa ku m PM as if nimewahi kuwa na huo mda mchafu wa kum PM FREE P yule! Nikacheka tu kwa masikitiko! Ni sawa na kumwambia Mswahilia asile kitimoto, sana sana umempunguzia dhambi tu!
THAT IS THE WORLD WE LIVE IN MMU AND I DONT LIKE IT BUT I LOVE IT!

Mama mi nasoma na nacomment chochote hata kama ni thread yako
Siigizi kukukujb kupitia MTU mwingine like the way u do
I don't act expensive like the way u do
The thing is u might be too inferior in streets n real life that's y unasaka umaarufu Kunya/umaarufu mavi Jf
I respect what u do but it doesn't meant is acceptable to me
Siigizi maisha mama plus I don't care who u r that's who I am
to u is always about having masters n all that stuff
Sijui unataka tukuone that expensive kama unakula au unakunya dhahabu ama tanzanite bana(pesa zetu mdogo hz hz za kihuni na haziishi)
I don't care if u live in royal penthouse suite in hotel president Wilson in Switzerland,if u have an office in "fuc .kin "burj khalifa" in Dubai
if u l you own Cayman tower
U sell nyap unyamwezini au uswahilini kwenu usipotaka watoto wambwa tupajue
Whatever mum but I don't give a shit
Am too ill too real to respect utoko wako japo napaswa kuheshimu mawazo yako
ask uaself one thing if u think u real that expensive what the fuc.k r u doing here in Jf with "sisi" cheap people?
Keep calling pipo haters shikamoo diva Lara moko jambazi la kuigiza
 
Last edited by a moderator:
Mungu amesikia kilio chako.

Twende PM.
Hahahaaaaaaa! Huna lolote! Unataka kufunga goli la kisigino mbele yetu makipa kina Cassilas, Dogo Christian Ronaldo utulie! yaani uokote fuko la hela kwenye maandamano lazima niteme sumu!
 
sawa ila zingatia yafuatayo
1:hata kama mrefu no free p
2:uwe mrefu ndani na nje...silagi bamia zinateleza
3;urefu haulipi bills

Hahahaaaaaaaa! Hii dengue ya NO FREE P imekolea mpaka basi! SAY NO TO VANDALISM, SAY NO TO FREE P!

Nikiwa kama Prof wa NO FREE P, nakutunuku Diploma in ELIMINATION OF FREE P OSIS with HONORS! Hahaaaaaaaa!
 
Hahahahahaaa....msulinivunje mbavu tafadhali mwenzenu naumwaaa.....lol
 
mi ni mrefu mdogo wangu wa mwisho kanizidi urefu nasema siku naenda kumtambulisha mchumba awe mfupi kuliko mdogo wangu wa mwisho

lara1 katika vitu naomba ni mume awe mrefu namuomba mungu uwwiiiiii unajua watu wafupi wana negetives sana waongeaji,hawajiamini,lakini pia awapendezi na mavazi mengi
MUNGU BABA NAOMBA MUME WANGU AWE MREFU above all

Hahahahaaaaa! THIS IS HIGHEST LEVEL OF GENETICS DISCRIMINATION! Sasa kwani wamependa kuwa wafupi? Wengine kama unavosema anaweza kuwa Emoro nje, ila ndani hashim thabeet! Hahaaa! Mpaka ukakimbia mkuku!

All in all with age CHARACTER IS VERY IMPORTANT!
 
Hahahaaaaaaaa! Hii dengue ya NO FREE P imekolea mpaka basi! SAY NO TO VANDALISM, SAY NO TO FREE P!

Nikiwa kama Prof wa NO FREE P, nakutunuku Diploma in ELIMINATION OF FREE P OSIS with HONORS! Hahaaaaaaaa!

hahahahahahahaa naipokea kwa amani na furaha hahaaahah
 
Hahahahaaaaa! THIS IS HIGHEST LEVEL OF GENETICS DISCRIMINATION! Sasa kwani wamependa kuwa wafupi? Wengine kama unavosema anaweza kuwa Emoro nje, ila ndani hashim thabeet! Hahaaa! Mpaka ukakimbia mkuku!

All in all with age CHARACTER IS VERY IMPORTANT!

Jamani jamani.....eti nje emolo ndani hashim thabeet lol
 
Back
Top Bottom