He is dangerously stupid

He is dangerously stupid

Ulipotaja wasukuma kuwahusianisha na mtu mmoja nimekuona na wewe ni kama yeye. Mapungufu ya mtu mmoja hayapaswi kuwa mapungufu ya kabila zima.
.
Mtani wangu Nyani Ngabu, kwa ung'eng'e huo, humtendei haki mlengwa. Hatakusikia, kukusoma wala kukuelewa. Lakini, watani wangu wasukuma mnakwama wapi!?!
 
Unajua Magufuli kashadokeza mara nyingi tu sasa kuwa anaamini mambo ya uchawi.

Kwa hiyo usemacho si ajabu hakiko mbali sana na ukweli.
Si kua anaamini mambo ya uchawi, ni mshiriki katika uchawi na kipenzi chake Bashite!
 
="Nyani Ngabu,
Among others, the HIGH STREET, at one time also the mighty Independence Avenue is obnoxiously littered and ladden with MAMA NTILIE. whatever they sell. It is the same elsewhere along the roads in the City. Anyplace with an empty space is invaded with MAFIGA and those vibandas.

For starters, what facilities are used for waste disposal? ... ablusions and whatever is peddled out there? They carry that ID sold to them by Governor. Filth all over and the Governor is untouchable.
 
[QUOTE="Nyani Ngabu, very positive observation big up
In my book he is 'canceled'. He should be in yours, too.

Why is that? You may ask. Well, the answer is very simple: because he is dangerously stupid. It's one thing being stupid. Being dangerously stupid is on a whole another level. Be wary of someone with power, no matter how little, who is also that stupid. He is that and also incredibly ignorant.

The guy hardly makes any sense. He blunders almost everything he gets his hands on. Yesterday he let out his latest 'hit'. You all know what that is. Imagine this; with the little power that he [thinks] has, look at how he has behaved since he became Governor of the great state of Dar-Es-Salaam. He has behaved like a lunatic. He has abused power in plain sight.

He has done everything that if it were someone else, he'd have been canned eons ago. Why to this day he is still the governor is the question that boggles my mind. What does he have to do in order to be let go? Shoot someone dead in the middle of Askari Monument?

I believe most right thinking citizens have the same questions I have. The whole thing is just weird. There seems to be a strange propinquity between him and his boss. Him and his boss are probably surrounded by a bunch of mealy-mouthed sycophants who are embarrassingly obsequious.

Shameful.
[/QUOTE]
Nyani Ngabu,very good observation, be blessed
 
There seems to be a strange propinquity between him and his boss. Him and his boss are probably surrounded by a bunch of mealy-mouthed sycophants who are embarrassingly obsequious.

Shameful.

This is where the truth lies...
Thank God, we have started speaking the same Language
 
Namsikitikia huyu kijana kila kitu anakosea, baada ya kusema atajenga daraja la mita 300! Sasa anapambana na comedian!

Hizo zote ni comedy ila pili imeishinda umaarufu ya kwanza. Anazijua mita 300 kwenda juu? Hiyo si kichekesho kingine?
 
@="Nyani Ngabu,
Nataman kujibu kiingereza shida nimesoma shule za Wananchi.
Anyway.


Meko kama angekata mbeleko kwa huyu mshamba.
Meko kama asingeminya uhuru wa habari na kujieleza.
Meko kama angekuwa transparent kwa kila kitu kuanzia manunuzi n.k
Kwa utendaji wake wa kazi na usomamiaji wa nidhan kazini
Angevunja rekodi yakuwa the BEST MEKO EVER
 
Hizo zote ni comedy ila pili imeishinda umaarufu ya kwanza. Anazijua mita 300 kwenda juu? Hiyo si kichekesho kingine?
300m almost robo km, anyway Muumba akitupa pumzi sisi yetu majicho
 
Back
Top Bottom