HDMI to VGA CONVERTER

Itoye

JF-Expert Member
Sep 29, 2017
531
1,024
Salaam.

Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya hili anijuze sehemu kwa hapa DSM ambayo naweza pata mojawapo kati ya hizi gadgets mbili.

Thanks in advance.
sw-30090.jpeg
31nJMvTITOL._AC_SY700_FMwebp_.jpeg
 
nenda kkoo ama poster kwenye maduka ya computer na vifaa vya network pia unaweza cheki kwa wale jamaa pale kkoo kwenye junction kama waelekea mnazi mmoja mie nishanunua sana vitu kwao uwaga na makolo kolo mengineyo ata dukani ayapatikani
Salaam.

Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya hili anijuze sehemu kwa hapa DSM ambayo naweza pata mojawapo kati ya hizi gadgets mbili.

Thanks in advance.View attachment 894033View attachment 894034
 
nenda kkoo ama poster kwenye maduka ya computer na vifaa vya network pia unaweza cheki kwa wale jamaa pale kkoo kwenye junction kama waelekea mnazi mmoja mie nishanunua sana vitu kwao uwaga na makolo kolo mengineyo ata dukani ayapatikani
Asante sana kaka, nitatembelea maeneo hayo.
 
nenda kkoo ama poster kwenye maduka ya computer na vifaa vya network pia unaweza cheki kwa wale jamaa pale kkoo kwenye junction kama waelekea mnazi mmoja mie nishanunua sana vitu kwao uwaga na makolo kolo mengineyo ata dukani ayapatikani
Shukrani Mkuu, nimefanikiwa kupata cable, kwenye one of the shops pale JM Mall.
 
Unaweza ukawa unataka kutoa picha kwenye laptop kwenda kwenye smart-tv lakini laptop yako ikawa haina HDMI port ina VGA pekee hivyo unatumia hizo converter. Pia kama unatoa kwenye laptop kwenda kwenye projector za kisasa ukitaka picha safi..
Naomba kujuzwa hizo HDMI zinatumika vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom