Disemba 1, 2023: Siku Ya UKIMWI Duniani

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani kila Mwaka huikumbusha Jamii juu ya mapambano ya kumaliza unyanyapaa kwa Waathirika, mi fursa ya kuwaheshimu wale tuliowapoteza, na wito wa kujitolea kufanya kazi kuelekea siku ambayo UKIMWI hautakuwa tena tishio kwa Afya ya umma

Maadhimisho ya kwanza ya Siku hii yalifanyika Mwaka 1988, ikitoa jukwaa la kuongeza uelewa kuhusu UKIMWI na Virusi vya Ugonjwa huo, pamoja na kuwaheshimu wale walioathiriwa na janga hili

..........

This year’s theme for World AIDS Day is “World AIDS Day 35: Remember and Commit.” This annual event serves as a reminder of the global struggle to end HIV-related stigma, an opportunity to honor those we have lost, and a rallying cry to commit to working toward a day when HIV is no longer a public health threat.

The first World AIDS Day took place in 1988, providing a platform to raise awareness about HIV and AIDS and honor the lives affected by the epidemic.

This year marks the 35th commemoration of this important day. Over the past 35 years, there has been significant progress in addressing HIV and AIDS thanks to advancements in medical research, increased access to treatment and prevention, and a broader understanding of the virus.
 
🤝
 
Wakati wanapambania kutokunyanyapaliwa kwa wenye UKIMWI wasisahau huku mtaan

mtu anajijua ameathirika ila anatembeza miti kwa vitoto ni hatari au anagawa uroda bila shida kikubwa wanasema tuwe wengi

Au

Mtu anajijua ana UKIMWI anaoa au anaolewa na mtu ambaye hana UKIMWI.

Hawaoni kama hawa jamaa wanaambukiza makusudi, haya nayo wayatazame sana huku mtaani hali ni tete

Bila kufanya sensa ya upimaji UKIMWI nchi nzima na tutakaopatikana kupewa alama ya kudumu ili na sisi tuwe na ulimwengu wetu haya mapambano hayataisha kizazi hadi kizazi takwimu kitaifa zinadanganya tu ukweli huku mtaani kaya za maambukizi zinaongezeka tu

#Msisahau UKIMWI ni siraha ya uchumi na kibaolojia kwa mataifa makubwa AFRICA haiwezi kuingia vita na marekani coz wanasitisha ARVs lazima mnyongonyee,,,

Kiuchumi wanakupa ARV kwa mkopo wenye riba na tatizo ni endelevu kwaiyo linakuwa ni deni lisiloisha
Dadeki afrika sisi wajinga sana huku tunasema tunaelimu na tunawatu waliosoma vyuo vikuu na huko nje et nchi ina maprofesa aisee wakati bado hatujui ata kutengeneza dawa chemically bado tunategemea majani na mizizi kilichoongezeka ni packaging tu huku tukichanganya na za wazungu na tunauza kwa bei kubwa tunalaana sisi

ARVS hizi ukweli tu sio bure kodi za wananchi zinalipa huko wanakochukua au vipande vya nchi vinamilikishwa kwa wakubwa hao ili tuendelee kuzipata ARVS

Nchi zinaongozwa na wana art ambao hawajui hata physics chemistry biology alafu mnawaza nchi ziendelee kitoknolojia sahau hili zitaendelea kisiasa tu ila hivi vingine big nooo

Kipofu anaongoza wenyemacho

Niishie hapa kwanza
 
Kumbe ARV hatupewi BURE na Marekani?
 
Kuna kujisahau hadi mtu anakapolikwaa ndipo majuto huchukua nafasi.

Binafsi nimejidhatiti kwa kuwa na mpenzi mmoja ninayemuamini, natoa wito kwa wengine kufanya hivyo pia.

Wapenzi wengi sio deal, mpenzi mmoja atosha.
 
Attachments

  • IMG-20231201-WA0000.jpg
    IMG-20231201-WA0000.jpg
    91.8 KB · Views: 9
Kama huku kwetu ndo tishio hatari, hadi ukitembea njiani unahisi unaukanyaga😒😒..watu zaidi ya 60,000🙇‍♀️🙇‍♀️
Sasa hapo ukitembea njiani inabidi utembee kwa tahadhari usije ukaukanyaga my baby,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom