hazina

hazina

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,704
Reaction score
9,079
wadau kuna yeyote kapigiwa simu kuwa aripoti j3 hazina?
 
Kweli hapa ndio JF
Maswali yake hata Google haiyawezi!!!!
wadau kuna yeyote kapigiwa simu kuwa aripoti j3 hazina?
Hapa Dodoma kuna Hazina 2 ya Wizara ya fedha na Hazina wanakoishi watu sasa mm nimekipigiwa kote nikawatembelee ndugu zangu jioni sio j3
MY TAKE kwanini msiwe mnamalizia habari kamili kuliko kutuma km mnakimbizwa ????
 
mkuu ipo hivi kuna jamaa angu kapgiwa simu kaambiwa aripoti hazina makao makuu dsm wizara ya fedha na inasemekana kuna watu wengi tu nao wameitwa ndo nataka kujua
 
Ina maana watu walishafanya interview halafu wakafaulu then wanaitwa kazini?
 
jaman hiyo hazina nn tena? kwan kuna nafasi walitangaza au hiyo kuitwa kazin ni ya lini tena??????
 
Back
Top Bottom