NimekujibuJibu swali acha kukwepa swali,
Huna jibu kaa kimya.
Bwashee hizo mambo ni punyeto za ubongo tu na kujiliwaza , kaa hapo amini Mungu atakusaidia na kukushushia ugali na mimi ambae siamini wala sisali ila nachapa kazi , tuone nani atakulamin -me
Ulishawahi kusoma Biblia au kumtafuta Mungu kwa namna yeyote
Ukweli kuhusu Mungu umeandikwa kwenye Biblia. Je kwa namna yeyote umeseoma hukuelewa au tu hutaki kuamini Mungu yupo
Shida kubwa ambayo wakristu wanayo ni kama ile mbegu iliyoota kwenye miiba. Hata nikikwambia kuhusu Mungu hutaweza kuwa na mizizi ndani yako
Mfano tu unaona wakristu wengi kipindi hiki wanaamini kuwa kutoa sadaka ni kuiweka mbinguni
Je ni kweli leo hii nikipeleka mia mbili zangu nimeziweka mbinguni?
Hapa ndipo unaona mapokeo ya kipagani yanaonekana
Mfano mkwawa alizikwa na mtu akiamini atamsimamia huko mbinguni
Pia Farao was burried with gold and many people believing they will serve him in after life.
Je ni kweli chochote kilichopo duniani utakiweka mbinguni? SI KWELI
Rabbi Hona aliuliza. "Je Mwanga ukipiga kwenye nyumba yako mwenye nyumba anaimiliki huo Mwanga?"
Hivyo basi wewe ni Nuru na unatoka kwa Mungu. Hivyo uko hapa duniani ila vya dunia hii vitabaki duniani hata mwili wako utabaki duniani
ROho yako itarudi kwa Bwana. Ukiwa na upotevu basi Roho yako itaangamia
Nini cha kufanya?
KUtomwamini Mungu maana yake wewe ni mpagani. Pia kuamini neno ambalo halina uhai ndani yake pia wewe bado ni mpagani
Cha kufanya... Anza kutafuta uso wa Mungu, whoever seeks he will find. In the sense that, throught Holy Spirit you have to work to understand the word of God. To find the Truth, only then you will inherit the Kingdom of Hevean
THe fist time my younng brother disected a human being. He said to me "brother, a human body function is a divine work" he only had to realize this after observing the human anatomy. .
Niko hapa kukusaidia kwa namna yoyote endapo utahitaji kumjua Mungu. But ni upotevu mkubwa kutoamini. Biblia inasema mjinga ndio atasema Mungu hayupo....
Mimi sihubiri nawafundisha vijana kuhusu tafsiri ya nenoZamani ilikuwa nikisikia mtu ana hubiri hivi nilikuwa naona anajisumbua ila baada ya kupata mauza uza aisee niliamini Mungu yupo. Na I do not make any jokes concerning God
Bado unahubiri tu thibitisha uwepo wa mungu kwenye vitabu hata chopeko na mnofu kaandikwaNimeshakujibu. Nikikwambia ninemwona Mungu bado hutoamini
Je wewe nini au jambo gani ambalo unahitaji lifanyike uamini katika Mungu?
Kwa mtazamo wako.
Aisee Meku na mbege utakuwa umeacha kabisa.min -me
Ulishawahi kusoma Biblia au kumtafuta Mungu kwa namna yeyote
Ukweli kuhusu Mungu umeandikwa kwenye Biblia. Je kwa namna yeyote umeseoma hukuelewa au tu hutaki kuamini Mungu yupo
Shida kubwa ambayo wakristu wanayo ni kama ile mbegu iliyoota kwenye miiba. Hata nikikwambia kuhusu Mungu hutaweza kuwa na mizizi ndani yako
Mfano tu unaona wakristu wengi kipindi hiki wanaamini kuwa kutoa sadaka ni kuiweka mbinguni
Je ni kweli leo hii nikipeleka mia mbili zangu nimeziweka mbinguni?
Hapa ndipo unaona mapokeo ya kipagani yanaonekana
Mfano mkwawa alizikwa na mtu akiamini atamsimamia huko mbinguni
Pia Farao was burried with gold and many people believing they will serve him in after life.
Je ni kweli chochote kilichopo duniani utakiweka mbinguni? SI KWELI
Rabbi Hona aliuliza. "Je Mwanga ukipiga kwenye nyumba yako mwenye nyumba anaimiliki huo Mwanga?"
Hivyo basi wewe ni Nuru na unatoka kwa Mungu. Hivyo uko hapa duniani ila vya dunia hii vitabaki duniani hata mwili wako utabaki duniani
ROho yako itarudi kwa Bwana. Ukiwa na upotevu basi Roho yako itaangamia
Nini cha kufanya?
KUtomwamini Mungu maana yake wewe ni mpagani. Pia kuamini neno ambalo halina uhai ndani yake pia wewe bado ni mpagani
Cha kufanya... Anza kutafuta uso wa Mungu, whoever seeks he will find. In the sense that, throught Holy Spirit you have to work to understand the word of God. To find the Truth, only then you will inherit the Kingdom of Hevean
THe fist time my younng brother disected a human being. He said to me "brother, a human body function is a divine work" he only had to realize this after observing the human anatomy. .
Niko hapa kukusaidia kwa namna yoyote endapo utahitaji kumjua Mungu. But ni upotevu mkubwa kutoamini. Biblia inasema mjinga ndio atasema Mungu hayupo....
Jitambue kwanzaYou're triggered naona😂
Tulia mwanatumbi, tulia tukupe makavu. You're destroying yourself. Stop drinking too much anza kupunguza mdogomdogo
Amina... sharti injili ihubiriwe ulimwengu wote ili iwe USHUHUDA KWAO maana sio wote wataamini...Mimi sihubiri nawafundisha vijana kuhusu tafsiri ya neno
Yeye asiyeamini huna haja ya kumwambia mara mbili. UNamuacha kama alivyo
Hapa niko kufundisha sio kubishana. Kwangu kazi yangu ni moja tu kufundisha kwa sababu natimiza wajibu wangu. Imenipasa kufanya hivyo
Ila kuelewa au ubishi nawaachie wenye mda huo
Wabarikiwe wote ambao wameweza kulishika neno lake Bwana. .
Mbege nakunywa kwa nini misimywe mbege.Aisee Meku na mbege utakuwa umeacha kabisa.
I did my part no one is perfectJitambue kwanza
Bwashee sioni sababu ya kuacha pombe ,pombe ni asili yetu kwanza hizo mambo za kuacha na sikia humu jamiiforum tu 😃Aisee Meku na mbege utakuwa umeacha kabisa.
Hiyo ni nafasi ya mke wangu hapo wewe umejichomeka tu , ila asante kwa kushirikiI did my part no one is perfect
Again MangiBado unahubiri tu thibitisha uwepo wa mungu kwenye vitabu hata chopeko na mnofu kaandikwa
BS umeongea. All I did was being helpfulHiyo ni nafasi ya mke wangu hapo wewe umejichomeka tu , ila asante kwa kushiriki
Kunywa pombe habari za mungu kakataa waachie hawa mapengo walokoleMbege nakunywa kwa nini misimywe mbege.
Nakunywa kiasi bora moja linanitosha
Hivi mshamba wewe ndo wa kunikataa hivi? Siku hizi unepotea sana.
Brian anatumia jina gani hapa?
TuliaBS umeongea. All I did was being helpful
Hayupo huyo😅Mbege nakunywa kwa nini misimywe mbege.
Nakunywa kiasi bora moja linanitosha
Hivi mshamba wewe ndo wa kunikataa hivi? Siku hizi unepotea sana.
Brian anatumia jina gani hapa?
Wapi umejibu? Umejibu kwa kuniambia Mungu yupi?Nimekujibu
Acha kuleta taarabu,jibu swali.Unless una majibu unayataka wewe yafanane na ya kwako
Mimi nimekuuliza wewe,sijataka kumuuliza yeyote,Biblia inamzungumzia Mungu na popote ukimuliza yeyote Je Biblia inazunguzia Mungu gani inajulikana
Ndio huyo aliyesulubiwa msalabani na Wayahudi?MUNGU muumbaji wa mbingu na nchi... na vitu vyote vilivyomo na sio miungu watu wala sanamu.
MImi nakunywa mbege kiasi.Kunywa pombe habari za mungu kakataa waachie hawa mapengo walokole