Acha chuki binafsi na serikali.Kama wewe intellectual uliyekombolewa fikra andika mabaya na mazuri.Jifunze kwa hata hashimu Rungwe alivyoheshimu mchango wa awamu ya NNE licha ya Prochadema kuuponda sanaMaji yameanza kufika shingoni. Matumizi yamezidi mapato. Kama serikali ingekuwa inaweka wazi kuwa hazina imebakiza kiasi gani kwa sasa basi watanzania wengi wangepata mshituko mkubwa.
Financial sources za nje nazo zimebuma. Mapato ya TRA yamebuma nayo. Zile mbwebwe za kutangaza mapato zilidumu kwa miezi mitano tu. Sasa tunaelekea mwezi wa tatu hawajatangaza mapato ya TRA.
Tuna 40% budget deficit. Average domestic income ni Trilion moja kwa mwezi. Miezi 12 maana yake ni 12 trillion. Hapa kuna deficit ya 5trillion from projected domestic income ya 17 trillion. 12trillion ilitegemewa kutoka hasa kwenye mikopo na misaada. Misaada sasa imebuma.
Sasa serikali imepata kiwewe. Wameanza posho za madiwani, zitafata za wabunge, mawaziri, na hata watumishi wa serikali.
Hii sio kubana matumizi bali ni kupunguza matumizi ili kuendana na hali mbaya ya uchumi.
Hakuna anayefurahia hii hali tunakoelekea nikubaya. Kila mtu inamuumiza. Personaly mimi ni muajiri. Wafanyakazi wangu nimewapunguzia 20% ya mishahara yao asiyetaka aache kazi. Hii sasa ni kila sehemu. Private secta zinapunguza waajiri kama sio kuwapunguza kazi ili kwendana na hali ya uchumu.
Tanzania hatujawai kuwa na uchumi mzuri lakini hii hari ni bora ya jana.
Viongozi wenyewe hata hawaeleweki wanamkakati gani wa kuokoa jahazi zaidi ya kutoa matamko nakutafta sifa. Wao wana sema hali ni nzuri. Ni kweli wanachokisema. Hata kwenye nyuso zao utatambua kuwa hali ni nzuri kwao kwa jinsi wanavyopendeza na kuzidi kunawili kiafya. Watakuwa wanafiki wakisema hali ni mbya wakati wananenepa na sura kungara. Walivyokuwa kabla hawana madaraka 2015 si sawa na sasa.
Umesoma hadi standard ngapi bwashee?Lugumi ndio mgombea urais wa chadema 2020 Dj akibadili gia za angani.
Bavicha msimtukane sana itakuja kuwapa shida kumsafisha ,kama ilivyowapa shida kumsafisha Lowasa
Mkuu , unaambiwa nchi chali miguu juu , kudadadeki !Kama rais anaweza kwenda sehemu na kutangaza kuwa "billion 10 ziende magereza" bila kupitishwa bungeni unategemea nini zaidi ya kufilisika?
Wapi nimesema naichukia serikali. Watanzania wa hi tabia ya unafiki ndyo inawatafna. Mtu akisema ukweli anaichukia serikali?Acha chuki binafsi na serikali.Kama wewe intellectual uliyekombolewa fikra andika mabaya na mazuri.Jifunze kwa hata hashimu Rungwe alivyoheshimu mchango wa awamu ya NNE licha ya Prochadema kuuponda sana
Mwisho wa kufikiri>>>>Majizi na Mafisadi naona mmebanwa mnaanza kulilia...... JPM kaazaaa kila mmoja ale usawa wa kamba yake...
Maji yameanza kufika shingoni. Matumizi yamezidi mapato. Kama serikali ingekuwa inaweka wazi kuwa hazina imebakiza kiasi gani kwa sasa basi watanzania wengi wangepata mshituko mkubwa.
Financial sources za nje nazo zimebuma. Mapato ya TRA yamebuma nayo. Zile mbwebwe za kutangaza mapato zilidumu kwa miezi mitano tu. Sasa tunaelekea mwezi wa tatu hawajatangaza mapato ya TRA.
Tuna 40% budget deficit. Average domestic income ni Trilion moja kwa mwezi. Miezi 12 maana yake ni 12 trillion. Hapa kuna deficit ya 5trillion from projected domestic income ya 17 trillion. 12trillion ilitegemewa kutoka hasa kwenye mikopo na misaada. Misaada sasa imebuma.
Sasa serikali imepata kiwewe. Wameanza posho za madiwani, zitafata za wabunge, mawaziri, na hata watumishi wa serikali.
Hii sio kubana matumizi bali ni kupunguza matumizi ili kuendana na hali mbaya ya uchumi.
Hakuna anayefurahia hii hali tunakoelekea nikubaya. Kila mtu inamuumiza. Personaly mimi ni muajiri. Wafanyakazi wangu nimewapunguzia 20% ya mishahara yao asiyetaka aache kazi. Hii sasa ni kila sehemu. Private secta zinapunguza waajiri kama sio kuwapunguza mishahara ili kwendana na hali ya uchumu.
Tanzania hatujawai kuwa na uchumi mzuri lakini hii hari ni bora ya jana.
Viongozi wenyewe hata hawaeleweki wanamkakati gani wa kuokoa jahazi zaidi ya kutoa matamko nakutafta sifa. Wao wana sema hali ni nzuri. Ni kweli wanachokisema. Hata kwenye nyuso zao utatambua kuwa hali ni nzuri kwao kwa jinsi wanavyopendeza na kuzidi kunawili kiafya. Watakuwa wanafiki wakisema hali ni mbya wakati wananenepa na sura kungara. Walivyokuwa kabla hawana madaraka 2015 si sawa na sasa.
Hivi ofisi ya hashimu ni bafuni au chooni? Ivyo vigae apo nyuma sijavielewaAcha chuki binafsi na serikali.Kama wewe intellectual uliyekombolewa fikra andika mabaya na mazuri.Jifunze kwa hata hashimu Rungwe alivyoheshimu mchango wa awamu ya NNE licha ya Prochadema kuuponda sana
Muzinza katika ubora wakeLugumi ndio mgombea urais wa chadema 2020 Dj akibadili gia za angani.
Bavicha msimtukane sana itakuja kuwapa shida kumsafisha ,kama ilivyowapa shida kumsafisha Lowasa
Robert Kiyosaki vitabu vyake vyote husema "savers are loosers"Mimi nahisi kuna approach mbaya ya uchumi. Sidhani kama suluhisho la kiuchumi ni kukata spending. Ukikata spending umekata money circulation mwishowe hakuna kitakachoingia hazina.
Huyu "mjamzito" anayemtembeza PM ni nani? Pumbaf kabisa; mwanaume unawezaje kuruhusu tumbo kama hilo? Hata kama ndio ile "miili yenye shukrani" huu ni ujinga. Italigharimu sana taifa matibabu yake.....
Harafu unaweza kuta huna hata elfu 20000 mfukoni, na hujui kesho utakula nini..... Umekazana kushabikia JPM kaza kamba, kisa unataka kuringana na aliyekuzidi....>>>>Majizi na Mafisadi naona mmebanwa mnaanza kulilia...... JPM kaazaaa kila mmoja ale usawa wa kamba yake...