Hazina wamekula hela za my wife afanyeje?

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
2,009
2,000
my wife ameajiriwa tangu mwaka jana ofisi fulani ya serikali, walikaa miazi kama miwili bila kupata mshahara, tangu aajiriwe mwezi November 2012 mshahara wameanza kulipwa mwezi wa pili. kwa mwaka sasa, mshahara wake wa mwezi wa kumi na moja na wa kumi na mbili wanazungushwa. ninaamini wapo wafanyakazi wa aina hii wengi, nimemwambia afuatilie anasema wanamwambia kuwa watapata kwenye madai watakayoingiziwa kwenye account. ni mwaka sasa wanapewa story hiyohiyo tu. INAWEZEKANA PALE HAZINA WAMEKULA MSHAHARA WAO? ni njia gani ya haraka kuwakamata hawa wezi, haiwezekani jasho la my wife la miezi miwili liende hivihivi. kwenye mwenye fununu atusaidie tufanyeje jamani.
 

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
2,009
2,000
anafanya kazi ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kama state attorney walioingia mwanzoni mwa November 2012.
 

Chatumkali

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,039
1,225
Kama alishajaza fomu ya madai atalipwa tu!Salary arreas huwa hatuzpigii bajeti mkuu!,,,,MODS pelekeni jukwaa husika.
 

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
982
1,000
Mbona mimi nadai arreas za tangu 2011 Nov, hadi March 2012 bado tunadai na tumeshajaza fomu, kama alivyosema mdau hapo atalipwa tuu ila usipigie bajet, itakuja kama saprize wakati umeshasahau. Ukipigia bajet usipopata utaumia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom