Hayawi hayawi yamekua! Nenda tu babu

Hayawi hayawi yamekua! Nenda tu babu

Msije sasa kuingia choo cha kike kuleta kocha ambaye haeleweki mkazidi kujitia pressure bure kila uchwao
tushajiandaa kisaikolojia si umeona United walivyo suffocate baada ya fergie kusepa ila now wanastqbilize
 
Naomba bodi ya man u imsajili ili majirani wajue uchungu wetu kidogo
 
Epl 3
Fa 7
Miaka yote aliyokaa lazima mfurahi ila toka club imeanzishwa hamjawahi kuchukua Europa wala Ucl kweli nyie wabeba manati
 
Back
Top Bottom