Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,637
- 3,351
Mungu baba mrehemu Raisi wetu hayati Mwl Nyerere.
Alifanikisha kuwepo kwa viwanda japo ubepari ulimpiga vita sana.Viwanda kama Urafiki na kwa maono na maarifa yake aligawa ardhi endelevu kwa urafiki mpaka leo wametoa sehemu ya ardhi yao kuwa UbungoICD Kwa TICTS/TPA.
Shirika kama TIB walikuwa na nyumba nzuri masaki nadhani sasa ni mali ya muhindi zile flat mpaka club oasis pale mbezi beach
THB walikuwa na nyumba nzuri Regent Estate. Tazara walikuwa na ardhi kubwa toka bandarini sabasaba,flats temeke maganga,Tazara hostel pale leaders club,mikocheni,seaview,mbezimakonde,mikoa yote reli ilipopita, NAFCO mbarali na Kapunga ilikuwa ni estates kweli, basuto hanang ngano na mpunga zililimwa kisasa,Sukita maeneo yale sasa ni magofu na yards za matapeli wa kipakistani wauza magari,Tanganyika Packers ilikuwa na eneo inapakana ma jeshi lugalo
TPC moshi ni kama Durban estate fulani hivi.
Swali la kutafakari ni kwanini Hayati Mwl Nyerere alikuwa na vision ya viwanda na haswa kuwapatia ardhi na nyumba ambazo sisi wa sasa tunaziuza na kuzigombania.
Tunahitaji watendaji wetu waige maono ya matumizi bora ya ardhi kama mwalimu