Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

Tangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto Iddi Amin na wengineo.

Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga?

Hata nikadhani labda wananchi wao ni mazezeta.

Ila alichotufanya bwana yule nilikuja kuelewa somo kwa vitendo,nilipenda sana story za hawa wababe ila ghafla nilijikuta nabadili mtazamo wangu.

Kiukweli kabisa watanzania wote tuliufyata kasoro mtu mmoja tu Tundu Lissu nadhani kwa sababu alishaonja kuzimu labda akaona kumbe hakutishi kivile, tuliobaki tukubali tuliufyata mpaka wengine kufikia kumuita Mungu, nikikumbuka nacheka mwenyewe
Watanzania Milioni 59,999,999 WOTE WALIUFYATA Mwendazake ALIKUWA MBABE KWA WOTE MUNGU AMPE PUMZIKO

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Wapagazi wale,slavely ilikuwa ni mode of production so wale wazee hawakuwa na jinsi ukisema umbwage chini unapigwa risasi ya matako na walinzi
Napokwambia ni utumwa ndio hivyo,hata enzi za mwendazake pambio lazima uimbe ukizingua ni jela kwa uhujimu uchumi,mateso nk..

Akina Sabaya walipigilia Watu misumari kwenye miguu unaleta mchezo.
 
Wakati mwingine ubabe unahitajika saana pale unapokuwa Kiongozi

maana Kuna watu baadhi hawataki kubembelezwa ni mwendo wa amri tu
Leo hi kiutaniutani mafuta ya kula dumu limefika 100,000 bado sukari mwez wa ramadhani
 
Tangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto Iddi Amin na wengineo.

Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga?

Hata nikadhani labda wananchi wao ni mazezeta.

Ila alichotufanya bwana yule nilikuja kuelewa somo kwa vitendo,nilipenda sana story za hawa wababe ila ghafla nilijikuta nabadili mtazamo wangu.

Kiukweli kabisa watanzania wote tuliufyata kasoro mtu mmoja tu Tundu Lissu nadhani kwa sababu alishaonja kuzimu labda akaona kumbe hakutishi kivile, tuliobaki tukubali tuliufyata mpaka wengine kufikia kumuita Mungu, nikikumbuka nacheka m
Ridhiwani Kikwete aliwahi kuhojiwa na Millard Ayo kuhusu mzee wake JK alipokuwa madarakani na alikuwa anatukanwa na kuchorwa vibaya yeye alikuwa anaichukuliaje??

Riz alisema ukweli ni kwamba ilikuwa inamkera sana kiasi ya kwamba alienda kumhoji mzee wake kwa nini anawaacha watu wanamkejeli na kumdhalilisha namna Ile na kwa nini hawashughulikii?

Mzee Kikwete alimwambia kwamba laiti angejua madaraka na nguvu aliyonayo Rais na akiamua kuyatumia basi hakuna atakayekuwa salama hata kidogo. Alimaanisha kwamba ana nguvu kubwa sana yeye kama Rais Ila wacha tu watu wamdhihaki sababu mtu anayeweza kumshika sharubu Simba hakika hajui Simba anaweza kumfanya kitu gani ndani ya sekunde moja tu.

Sasa Magufuli alikuwa ana ambition kubwa ya kuongoza nchi kwa kupeleka mambo haraka na the way anavyotaka, alipokuja kugundua hayo madaraka na nguvu aliyonayo akatamani kuzitumia na akaona namna watu wanavyotetemeka akipita sehemu akatamani atumie hizo nguvu kupeleka Mambo yaende.

Akazima bunge, Mahakama, waandishi au vyombo vya habari, akafumua mfumo wa utumishi wa umma, Yani akavuruga kila anachotaka hii sasa ilitokana na kujua kwamba Rais anaweza kufanya chochote.

Kwa nguvu hiyohiyo akageuka kuabudiwa sababu walitaka wale pesa yake waligundua ili waweze kula lazima wamsifie na kumhonga cheo Cha Mungu, wengine Kama sheikh Alhad wa Dar alisema Magufuli ni zaidi ya Yesu na jamaa likawa linaenjoy sana vile vyeo.

Mwishowe akalewa ule ukuu akataka atukuzwe maana walishamzoesha kumtukuza Hadi makanisani, viongozi wa dini karibu wote walimtukuza na aliyejaribu kumkosoa aliipata kisawasawa. Na pale ndipo kila aliyemkosoa alikuwa anapotezwa maana aliona yeye hawezi kukosolewa na hakutaka kukosolewa maana alishalewa ushamba wa madaraka.

Utaona kile kikosi kilichoundwa na Makonda kikiwa na jukumu la kutesa na kuua wote waliompinga na kumkosoa Magufuli kilianzishwa kwa usiri sana na kutekelezwa ushenzi mkubwa mno.

Kwa namna Ile hakuna ambaye angeweza kujitetea mbele yake ndio maana hakuwa anasikiliza hoja ya mtu yeyote akija anataka yeye aongee na mtekeleze whether you like it or not.

Hii ndio ilipelekea Hadi akataka aongoze milele lakini Mungu wa Watanzania ni Mungu wa Kweli, mnamo tarehe 17/3/2021 historia ikaanza kuandikwa upya baada ya kumpatia kifo yule fedhuli.

Sasa ukiangalia history ya madikteta wote Kama Hitler, Stalin, Pinnochet akina Mobutu, Idd Amin, Bokasa nk walikuwa na style ya kutengeneza watu wanaowapraise na wale waliowapraise waliishi vizuri sana .

Hiyo ilikuwa lazima wawepo ili waweze kusurvive kiunafiki sababu Hawa madikteta walijua kabisa hawakubaliki na hawapendwi nje na ndani ya nchi zao. Na ndio maana wanafanana kila kitu mfano, hawakusafiri nje ya nchi zao hovyo, hawakuruhusu mtu aripoti mambo ya nchini kwao na waliruhusu ripoti zinazowasifia na kuonyesha mambo ni shwari sana, nk.

Magufuli was one hell of the dictator ukifuatilia tabia za madikteta.
 
Wakati mwingine ubabe unahitajika saana pale unapokuwa Kiongozi

maana Kuna watu baadhi hawataki kubembelezwa ni mwendo wa amri tu
Leo hi kiutaniutani mafuta ya kula dumu limefika 100,000 bado sukari mwez wa ramadhani
Ukiwa mbabe ndio linashuka? Mbona Sukari na cement alishindwa kuvishusha bei licha ya mikwara?

Kama uzalishaji ni mdogo kuliko demand then unategemea iwaje? Na hayo mafuta yalianza kupanda 2019.
 
Ridhiwani Kikwete aliwahi kuhojiwa na Millard Ayo kuhusu mzee wake JK alipokuwa madarakani na alikuwa anatukanwa na kuchorwa vibaya yeye alikuwa anaichukuliaje??

Riz alisema ukweli ni kwamba ilikuwa inamkera sana kiasi ya kwamba alienda kumhoji mzee wake kwa nini anawaacha watu wanamkejeli na kumdhalilisha namna Ile na kwa nini hawashughulikii?

Mzee Kikwete alimwambia kwamba laiti angejua madaraka na nguvu aliyonayo Rais na akiamua kuyatumia basi hakuna atakayekuwa salama hata kidogo. Alimaanisha kwamba ana nguvu kubwa sana yeye kama Rais Ila wacha tu watu wamdhihaki sababu mtu anayeweza kumshika sharubu Simba hakika hajui Simba anaweza kumfanya kitu gani ndani ya sekunde moja tu.

Sasa Magufuli alikuwa ana ambition kubwa ya kuongoza nchi kwa kupeleka mambo haraka na the way anavyotaka, alipokuja kugundua hayo madaraka na nguvu aliyonayo akatamani kuzitumia na akaona namna watu wanavyotetemeka akipita sehemu akatamani atumie hizo nguvu kupeleka Mambo yaende.

Akazima bunge, Mahakama, waandishi au vyombo vya habari, akafumua mfumo wa utumishi wa umma, Yani akavuruga kila anachotaka hii sasa ilitokana na kujua kwamba Rais anaweza kufanya chochote.

Kwa nguvu hiyohiyo akageuka kuabudiwa sababu waliitaka wale pesa yake waligundua ili waweze kula lazima wamsifie na kumhonga cheo Cha Mungu, wengine Kama sheikh wa Dar alisema Magufuli ni zaidi ya Yeah na jamaa likawa linaenjoy sana vile vyeo.

Mwishowe akalewa ule ukuu akataka atukuzwe maana walishamzoesha kumtukuza na sio kumkosoa. Na pale ndipo kila aliyemkosoa alikuwa anapotezwa maana aliona yeye hawezi kukosolewa na hakutaka kukosolewa maana alishalewa ushamba wa madaraka.

Kwa namna Ile hakuna ambaye angeweza kujitetea mbele yake ndio maana hakuwa anasikiliza hoja ya mtu yeyote akija anataka yeye aongee na mtekeleze whether you like it or not.

Hii ndio ilipelekea Hadi akataka aongoze milele lakini Mungu wa Watanzania ni Mungu wa Kweli, mnamo tarehe 17/3/2021 historia ikaanza kuandikwa upya baada ya kumpatia kifo yule fedhuli.

Sasa ukiangalia history ya madikteta wote Kama Hitler, Stalin, Pinnochet akina Mobutu, Idd Amin, Bokasa nk walikuwa na style ya kutengeneza watu wanaowapraise na wale waliowapraise waliishi vizuri sana .

Hiyo ilikuwa lazima wawepo ili waweze kusurvive kiunafiki sababu Hawa madikteta walijua kabisa hawakubaliki na hawapendwi nje na ndani ya nchi zao. Na ndio maana wanafanana kila kitu mfano, hawakusafiri nje ya nchi zao hovyo, hawakuruhusu mtu aripoti mambo ya nchini kwao na waliruhusu ripoti zinazowasifia na kuonyesha mambo ni shwari sana, nk.

Magufuli was one hell of the dictator ukifuatilia tabia za madikteta.
Ujue Mwendazake asingekufa,na uhakika Tzn saizi ingekuwa inaelekea Libra.Madikteta wenzie Duniani huwa Hawa compromise mahusiano ya kimataifa na wanashikamana na wafanyabiashara Ili waweze kusavaivu kwenye madaraka kwa mda mrefu..

Sasa mtu unakua kiongozi afu unapora wafanyabiashara pesa Ili iwaje? Unagombana na kila jirani na Jumuiya ya Kimataifa unawaona wasenge.Mwendazake na Gadafi ni kundi moja
 
Umechambua vizuri sana,ni kweli alikuwa dikteta kabisa.ila kuna sifa moja pia ya madkteta wote,propaganda,huwa wako vizuri sana kwenye propaganda,na huwa wanapata wafuasi wachawe wenye akili finyu kuwa upande wao kipitia propaganda
 
Usimfananishe GADAFFI na watu wa ajabu aisee
 
Wakati mwingine ubabe unahitajika saana pale unapokuwa Kiongozi

maana Kuna watu baadhi hawataki kubembelezwa ni mwendo wa amri tu
Leo hi kiutaniutani mafuta ya kula dumu limefika 100,000 bado sukari mwez wa ramadhani
Kuongoza nchi inatakiwa akili nyingi ubabe kidogo sana,sasa kuna watu wanyonge tu walipotezwa wala hawahusiani na uchumi wa nchi
 
Tangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto Iddi Amin na wengineo.

Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga?

Hata nikadhani labda wananchi wao ni mazezeta.

Ila alichotufanya bwana yule nilikuja kuelewa somo kwa vitendo,nilipenda sana story za hawa wababe ila ghafla nilijikuta nabadili mtazamo wangu.

Kiukweli kabisa watanzania wote tuliufyata kasoro mtu mmoja tu Tundu Lissu nadhani kwa sababu alishaonja kuzimu labda akaona kumbe hakutishi kivile, tuliobaki tukubali tuliufyata mpaka wengine kufikia kumuita Mungu, nikikumbuka nacheka mwenyewe
Sijui ni kiranja wa malaika hukoo!??
 
Ujue Mwendazake asingekufa,na uhakika Tzn saizi ingekuwa inaelekea Libra.Madikteta wenzie Duniani huwa Hawa compromise mahusiano ya kimataifa na wanashikamana na wafanyabiashara Ili waweze kusavaivu kwenye madaraka kwa mda mrefu..

Sasa mtu unakua kiongozi afu unapora wafanyabiashara pesa Ili iwaje? Unagombana na kila jirani na Jumuiya ya Kimataifa unawaona wasenge.Mwendazake na Gadafi ni kundi moja
He was pathetic tulikuwa tunaelekea pabaya sana. Umbwa zake zimekaa Kama mazombi hazielewi kitu basi zimeingizwa kwenye mkumbo wa kusifia ingali hawapewi kitu zaidi ya kuitwa wanyonge wakati kikosi Cha praise and worship kilikuwa kinalipwa na kuishi vizuri sana aisee.
 
Umechambua vizuri sana,ni kweli alikuwa dikteta kabisa.ila kuna sifa moja pia ya madkteta wote,propaganda,huwa wako vizuri sana kwenye propaganda,na huwa wanapata wafuasi wachawe wenye akili finyu kuwa upande wao kipitia propaganda
Sure yule jamaa aisee ndio maana mkewe ameomba asiwekwe kwenye media nae ameshuhudia mengi sana hakufurahia . Naona ameamua apumzike kwanza.
 
Yule mama Mungu ampe maisha marefu ywnye amani kavumilia mengi sana
 
Back
Top Bottom