Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

Tangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto, Iddi Amin, Mobutu, Kagame, Bokassa na wengineo.

Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga?

Hata nikadhani labda wananchi wao ni mazezeta.

Ila alichotufanya bwana yule nilikuja kuelewa somo kwa vitendo, nilipenda sana story za hawa wababe ila ghafla nilijikuta nabadili mtazamo wangu.

Kiukweli kabisa watanzania wote tuliufyata kasoro mtu mmoja tu Tundu Lissu nadhani kwa sababu alishaonja kuzimu labda akaona kumbe hakutishi kivile, tuliobaki tukubali tuliufyata mpaka wengine kufikia kumuita Mungu, nikikumbuka nacheka mwenyewe.
viroba vilitumika. aka vipishori kwa Sisi watu WA Tanga aka visaflet.
 
Chuki na marehemu hazitokusaidia....rudi shule memkwa upate cheti halali maisha ya kubumba bumba mzee Magu alishayazika.
My friend mie kwanza sijasoma shule za Magufuli wenu am old enough kutompenda huyo Mungu wenu

Kama alikusaidia kibanda pale mwenge ukawa unauza viatu vya mtumba it's your call not mine.

Pia usilazimishe nimpende whether ni bwanako au lah good enough ameshakufa so hanisumbui.

Mnaosumbua ni nyie wanyonge, get used to the system acheni malalamiko kupenda vya bure mtaliwa kiboga that's why the guy was putting his middle finger up in your asses and you danced and whinnied to it.

Mie sioni Cha kumsujudia so get used to it kalale makaburini kwake labda atafufuka akupe mtaji wa bodaboda si alikuwa anatembea na mabulungutu ya hela Kama mwanamuziki?
 
Back
Top Bottom