mkuu waache watu waseme madukuduku yao, mengi yana ukweli sababu wanatoa na ref.Mtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.
Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???
Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
Mzilankende MnyagoMwendazake kaponza wengi, mmoja kaponea chupuchupu dk ya 90 akarudi duniani dadadeq
Ondoa Mkapa hapo. Mkapa kufa kwake kuna mkono wa Magufuli. Mkapa alishakuwa mwiba kwa Magufuli kuhusu kuondoa ukomo wa muda wa kutawala wa miaka mitano kwa vipindi viwili. Mkapa alikwisha weka wazi msimamo wake juu ya katiba na Tume Huru ya Uchaguzi. Hivyo vitu vilikuwa vinamkera magufuliIle cycle yote iliondolewa
Mfugale
Kijazi
Mkapa
Hii nyuzi isingekuwa ya maana basi hata wewe usingechangia. Ungesoma na kusepa tu. Lakini umechangia na wengine wanachangia. Kuongea uovu wa Magufuli ni kuitendea haki Tanzania yetu ili baadaye tusije tukazembea tukaleta tena mtu wa HOVYO na MSHAMBA kama MagufuliMtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.
Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???
Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
Ahahahahahah bagisha batororonyoMtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.
Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???
Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
Kuna nyepesi wakamwondoa Mzee wa Lupaso ili wachezee Katiba - mambo yakagonga mwamba, mwendazake (Stelling) akaondoka .... wafuasi wake kwa sasa wanashikilia bomba - aisee haya mambo kwa kweli, mwanadamu kujua kesho yako ni fumbo na hapa ndipo Mwenyezi Mungu alicheza pele.Ondoa Mkapa hapo. Mkapa kufa kwake kuna mkono wa Magufuli. Mkapa alishakuwa mwiba kwa Magufuli kuhusu kuondoa ukomo wa muda wa kutawala wa miaka mitano kwa vipindi viwili. Mkapa alikwisha weka wazi msimamo wake juu ya katiba na Tume Huru ya Uchaguzi. Hivyo vitu vilikuwa vinamkera magufuli
What if he mkapa had to be killed ili wahitaji wa kifo Cha Magufuli walahisishe njia? And what if it was a trend ya kuua inner circle wa Magufuli, Why kijazi, Why mfugale, why mahiga?kuna nyepesi wakamwondoa Mzee wa Lupaso ili wachezee Katiba - mambo yakagonga mwamba, mwendazake akaondoka na wafuasi wake kwa sasa wanashikilia bomba - aisee haya mambo kwa kweli, mwanadamu kujua kesho yako ni fumbo na hapa ndipo Mwenyezi Mungu alicheza pele.
Nani huyu jamaa wa kigoma au??Mwendazake kaponza wengi, mmoja aliponea chupuchupu dk ya 90 akarudi duniani dadadeq