ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,142
- 50,834
Tunaendelea kuweka Rekodi Sawa(Chadomo na Sukuma Gang Waione Kwenye jalada).
Wakati Hayati Rais Magufuli anaingia Madarakani Oktoba mwaka 2015 alikuta wastani wa Makusanyo ya TRA Kwa mwaka kutoka awamu ya 4 ni sh.Tilioni 1 Kwa Mwezi na Hadi anaondoka madarakani Kwa kifo Machi 2021 aliacha makusanyo ya mwisho Kwa Mwezi ni sh.1.5 Tilioni.
Hivyo basi ndio Kusema Magufuli Alitumia wastani wa miaka 6 kuongeza Bilioni 500 kwenye Uchumi wakati huo huo Rais DK.Samia ametumia Miaka 2 Tu kufikisha Wastani wa Makusanyo ya TRA kuwa Tilioni 2 Kwa mwezi.
My Take
Rais Samia atasalia kuwa Rais aliyeacha Alama kubwa ya kiutendaji Kwa muda mfupi kuliko Rais mwingine yeyote wa Tanzania.
Hakika Mama Apewe Maua yake.