Haya yamemzika Lowassa kisiasa

Haya yamemzika Lowassa kisiasa

Mpaka muda huu pamoja na siasa zenu chafu the winner ni " Mh. Lowassa. Whatever the madudu Lowassa anapendwa ndani ya hii nchi. Achilia mbali ndani ya CCM kule waliko imba ule wimbo wa " Tuna Imani na Lowassa. Lowassa kweli " Dude is liked. Tumpe haki yake.
 
12118976_1034491303237805_5575896654209656900_n.jpg

Hivi UKAWA MTADANGANYA Mpaka lini? Majuzi tu, tuliwaumbua kwa picha za Conakry, sasa mnatupia picha za Jangwani kama Mwanza. Hakika sikio la kufa halisikii dawa.

UKAWA ACHENI UOPNGO

LOWASSA KWISHA HABARI YAKE
 
Mpaka muda huu pamoja na siasa zenu chafu the winner ni " Mh. Lowassa. Whatever the madudu Lowassa anapendwa ndani ya hii nchi. Achilia mbali ndani ya CCM kule waliko imba ule wimbo wa " Tuna Imani na Lowassa. Lowassa kweli " Dude is liked. Tumpe haki yake.

Aliyeongoza kuimba Tuna imani na Lowassa ni Msukuma
Kwi kwi kwi
Leo anasemaje kuhusu mgombea wenu na kuwacheka? Mmesukumiziwa gari bovu na nyie mmekimbilia kuipanda!
 
Kisheria makosa ya jinai hayana kikomo, subiri MAGUFULI aingie Ikulu ndio mtajua kuwa yeye ni nani, labda Mafisadi wamuue.
 
Mahaba waliyokuwa nayo wanachadema kwa Lowassa yamepotea kabisa baada ya kujua yafuatayo.!

~Alijiuzulu uwaziri mkuu sababu ya skendo ya ufisadi ya Richmond Iliyokuwa ikilipwa Milion 152 kwa siku kwa muda wa siku 730 yaani miezi 24. Sasa milion 152 mara siku 730...aisee alituchapa!

~Alijimilikisha ranchi nne za taifa akiwa waziri wa maji na mifugo

~Akiwa waziri mkuu huduma ya usafiri wa reli ulizorota sababu yeye anamiliki kampuni ya GMS yenye kumiliki scania 900 hivyo kama reli ingeimarishwa angekosa dili.

~Akiwa waziri mkuu tenda za halmashauri na manispaa zote katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro za uchapaji,chakula,usafi n.k alipewa dada yake kupitia kampuni yake ya ALPHA Co. Ltd

~Akiwa mkurugenzi wa AICC aliiba mali nyingi sana ikiwa kuuza magari na ubadhirifu wa fedha kiasi cha kurudisha nyuma ukumbi ule

~Akiwa waziri mkuu alipinga wazo la kujenga bomba la gesi badala yake akaleta wazo la mvua za kutengeneza huku akiwa muuza majenereta mkubwa kupitia kampuni ya Alpha iliyokuwa ikisimamiwa na Fred ambaye ni mwanaye

~Aliwahi kumpa mwanaye paundi laki nne kwenda nchini Uingereza kununua nyumba ya kifahari katika jiji la London akakamatwa

~Kampuni za Lowassa za Barare Ltd, Intergrated property management na Alphatel partinership ziliifanya Tanzania kukosa msaada wa kibajeti 2006 toka Uingereza kwa makosa ya utakatishaji fedha zilizokuwa zikanunue jumba la kifahari London

~Anamiliki kampuni za uchimbaji madini

~Akiwa mmoja wa wanahisa wa Vodacom Tanzania ametajwa kushiriki uwizi wa zaidi ya bilion 675 taarifa iliyotolewa na gazeti la kiingereza la hapa nchini hali iliyoifanya serikali kuu kupoteza bilion 125 kama kodi.

KIUFUPI JAMAA NI EBOLA KWA NCHI. TUMPE MUDA AENDE KUSIMAMIA BIASHARA ZAKE.

wewe kichwa chako kimekua lini na matope??
 
Elimu yako ndogo sana, sheria sio kama viroba, makosa ya jinai muda wowote ushahidi unapokamilika sheria inachukua mkondo wake. Subili then utaona matokeo yake.

wewe sisimizi ndo utakamilisha ushahidi? Toa sifa dogo mfupa ulomshinda fisi utautafuna wewe?
 
Mpaka muda huu pamoja na siasa zenu chafu the winner ni " Mh. Lowassa. Whatever the madudu Lowassa anapendwa ndani ya hii nchi. Achilia mbali ndani ya CCM kule waliko imba ule wimbo wa " Tuna Imani na Lowassa. Lowassa kweli " Dude is liked. Tumpe haki yake.

Hivi tunazungumzia quality ya kiongozi au nini?
Several times mmesulubiwa kwa kutazama mnaosema watu wenye "nyota" za kupendwa, mwishowe mnalalamika! Toka Lowasa ameingia ktk mchakato wa uchaguzi ndani na nje ya ccm, watu wote wanaomkubali hawasemi vigezo vyovyote vinavyompa haki ya kuwa raisi, zaidi ya kuzungumzia kuwa anakubalika! How? Why? Etc hakuna anayeelezea!
Watanzania mtavote just kwa mahaba?
So kampeni za nini?
Anyway,
Kila mtu ana kura moja, lkn yenye maamuzi mazito kwa taifa!
Tafakari......chukua hatua!
 
Aliyeongoza kuimba Tuna imani na Lowassa ni Msukuma
Kwi kwi kwi
Leo anasemaje kuhusu mgombea wenu na kuwacheka? Mmesukumiziwa gari bovu na nyie mmekimbilia kuipanda!
Hapo sasa ndipo mtu unatakiwa ujue akili mbovu za makada wa CCM.
 
rais mtarajiwa wa awamu ya tano huyu hapa..
 
Attachments

  • 1444721021652.jpg
    1444721021652.jpg
    24.2 KB · Views: 117
GMS hihi hii iliyodhamini tuzo za kikwete na waandishi wa habari pamoja na home shopping centre? unajua kirefu cha GSM? hiyo m ni mariam...nafikiri ulishajua mmiliki ni nani? na ni kwa nini mwakyembe alitolewa wizara ile alipojifanya kutaka kufufua reli
 
Hivi tunazungumzia quality ya kiongozi au nini?
Several times mmesulubiwa kwa kutazama mnaosema watu wenye "nyota" za kupendwa, mwishowe mnalalamika! Toka Lowasa ameingia ktk mchakato wa uchaguzi ndani na nje ya ccm, watu wote wanaomkubali hawasemi vigezo vyovyote vinavyompa haki ya kuwa raisi, zaidi ya kuzungumzia kuwa anakubalika! How? Why? Etc hakuna anayeelezea!
Watanzania mtavote just kwa mahaba?
So kampeni za nini?
Anyway,
Kila mtu ana kura moja, lkn yenye maamuzi mazito kwa taifa!
Tafakari......chukua hatua!

Vigezo vilisha elezewa several time tokea zamani, Labda wewe umgeni na umeingia leo Tanzania. Vinginevyo usingetoa hoja ya hivi. Huu ni muendelezo wa sifa za Lowassa na tutaendelea kuzitaja na kuzirudia rudia kwani ni lazima tuseme ukweli. Na nachelea kusema kwamba Lowassa ana vigezo zaidi ya hata yule tuliye nae sasa. Ulitaka kila Topic au hoja inayoandikwa hapa irudie rudie vigezo vinavyo mpa haki ya kuwa Rais. Au ulitaka na yeye Apige pushapu ili tuviandike hapa?
 
Mahaba waliyokuwa nayo wanachadema kwa Lowassa yamepotea kabisa baada ya kujua yafuatayo.!

~Alijiuzulu uwaziri mkuu sababu ya skendo ya ufisadi ya Richmond Iliyokuwa ikilipwa Milion 152 kwa siku kwa muda wa siku 730 yaani miezi 24. Sasa milion 152 mara siku 730...aisee alituchapa!

~Alijimilikisha ranchi nne za taifa akiwa waziri wa maji na mifugo

~Akiwa waziri mkuu huduma ya usafiri wa reli ulizorota sababu yeye anamiliki kampuni ya GMS yenye kumiliki scania 900 hivyo kama reli ingeimarishwa angekosa dili.

~Akiwa waziri mkuu tenda za halmashauri na manispaa zote katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro za uchapaji,chakula,usafi n.k alipewa dada yake kupitia kampuni yake ya ALPHA Co. Ltd

~Akiwa mkurugenzi wa AICC aliiba mali nyingi sana ikiwa kuuza magari na ubadhirifu wa fedha kiasi cha kurudisha nyuma ukumbi ule

~Akiwa waziri mkuu alipinga wazo la kujenga bomba la gesi badala yake akaleta wazo la mvua za kutengeneza huku akiwa muuza majenereta mkubwa kupitia kampuni ya Alpha iliyokuwa ikisimamiwa na Fred ambaye ni mwanaye

~Aliwahi kumpa mwanaye paundi laki nne kwenda nchini Uingereza kununua nyumba ya kifahari katika jiji la London akakamatwa

~Kampuni za Lowassa za Barare Ltd, Intergrated property management na Alphatel partinership ziliifanya Tanzania kukosa msaada wa kibajeti 2006 toka Uingereza kwa makosa ya utakatishaji fedha zilizokuwa zikanunue jumba la kifahari London

~Anamiliki kampuni za uchimbaji madini

~Akiwa mmoja wa wanahisa wa Vodacom Tanzania ametajwa kushiriki uwizi wa zaidi ya bilion 675 taarifa iliyotolewa na gazeti la kiingereza la hapa nchini hali iliyoifanya serikali kuu kupoteza bilion 125 kama kodi.

KIUFUPI JAMAA NI EBOLA KWA NCHI. TUMPE MUDA AENDE KUSIMAMIA BIASHARA ZAKE.

Mtoa mada nina mashaka nawewe, naisi unafikiria kwa kutumia makario, kichwa hauna!
 
Tatizo ni kwamba utampeleka mahkani, Je una ushahidi? Ebu wewe mwenyewe jifikiria kama ungekua kwenye nafasi ya Lowasa, utafanyeje ili uweze kuiba na usikamatwe? Tutafautishe lijizi linaloiba kwa ajili ya njaa na shida na mwizi anayeiba kwa ajili ya tamaa na ufahari. Mfano mwingine ungekua muuza unga na we ni bilioner je huo unga utabeba wewe mwenyewe au utawapa mapunda wakubebe?? Weizi wanao kamatwa na kupelekwa mahkamni na hao wadodo wadogo, lakini mwizi msomi kila analoiba inahakikisha anafuta ushahidi... Mungu ibariki Tanzania na tuombe atakae kua raisi awe raisi mwenye imani na sisi wananchi tujaribu kufikiria kabla ya matendo au kuchagua
 
Mahaba waliyokuwa nayo wanachadema kwa Lowassa yamepotea kabisa baada ya kujua yafuatayo.!

~Alijiuzulu uwaziri mkuu sababu ya skendo ya ufisadi ya Richmond Iliyokuwa ikilipwa Milion 152 kwa siku kwa muda wa siku 730 yaani miezi 24. Sasa milion 152 mara siku 730...aisee alituchapa!

~Alijimilikisha ranchi nne za taifa akiwa waziri wa maji na mifugo

~Akiwa waziri mkuu huduma ya usafiri wa reli ulizorota sababu yeye anamiliki kampuni ya GMS yenye kumiliki scania 900 hivyo kama reli ingeimarishwa angekosa dili.

~Akiwa waziri mkuu tenda za halmashauri na manispaa zote katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro za uchapaji,chakula,usafi n.k alipewa dada yake kupitia kampuni yake ya ALPHA Co. Ltd

~Akiwa mkurugenzi wa AICC aliiba mali nyingi sana ikiwa kuuza magari na ubadhirifu wa fedha kiasi cha kurudisha nyuma ukumbi ule

~Akiwa waziri mkuu alipinga wazo la kujenga bomba la gesi badala yake akaleta wazo la mvua za kutengeneza huku akiwa muuza majenereta mkubwa kupitia kampuni ya Alpha iliyokuwa ikisimamiwa na Fred ambaye ni mwanaye

~Aliwahi kumpa mwanaye paundi laki nne kwenda nchini Uingereza kununua nyumba ya kifahari katika jiji la London akakamatwa

~Kampuni za Lowassa za Barare Ltd, Intergrated property management na Alphatel partinership ziliifanya Tanzania kukosa msaada wa kibajeti 2006 toka Uingereza kwa makosa ya utakatishaji fedha zilizokuwa zikanunue jumba la kifahari London

~Anamiliki kampuni za uchimbaji madini

~Akiwa mmoja wa wanahisa wa Vodacom Tanzania ametajwa kushiriki uwizi wa zaidi ya bilion 675 taarifa iliyotolewa na gazeti la kiingereza la hapa nchini hali iliyoifanya serikali kuu kupoteza bilion 125 kama kodi.

KIUFUPI JAMAA NI EBOLA KWA NCHI. TUMPE MUDA AENDE KUSIMAMIA BIASHARA ZAKE.

Magamba Mna weweseka sana subirini dawa iwaingie vizuri mpaka mshindwe kusimama ndio mtaona Edo sio size yenu.
 
Twiga kusafiri? 😴uuuuuiiii mbona tembo wanaisha? Meno ya simba? Hifazi zote hakuna wanyama Tics bandarini? Jamani lowassa ni raisi? Kwanini hakukamatwa? Daudi balali? Na wizi wa benk kuu? Jaman mbona mnatuaminisha tuhukumu aliechukua vijisent huku waliochukua mipesaaaa hamwasemi? Achana ninywe viroba kwanza inawezekana akiingia ataweza kureta mabadiliko nikawa nakunywa bia all of all we need change Ccm Ikea pembeni kwanza maana imetutia umasikini sana ingekuwa wana tenda haki tusingekuwa tunalia lia tuu
 
Back
Top Bottom