Haya yamemzika Lowassa kisiasa

Haya yamemzika Lowassa kisiasa

Nanukuu mbunge mmoja wa lindi/mtwara aliwamwambia magufuli umetufanya watoto waaadooogooo? So na huyu mtoa maada anafanana na huyu magufuri we need change no figisu figisu hapa
 
Tatizo la Magufuli na ufisadi wake sio kuuza tu nyumba za serikali bali ni kukiuka utaratibu wa kimaadili na kumuuzia mdogo wake na hawara wake nyumba wakati hawakustahili.

Kama tungekua na mfumo mzuri usio wa kulindana rais angelazimika kumfukuza kazi Magufuli wakati ule.
Amenunua kivuko kwa bei ya kuruka.

Sasa tunatumia nguvu kubwa kumnadi kwa nyimbo za usafi kama alizokua ameimbiwa mseminaristi mwingine aliyeitwa Mkapa.
Ni nyimbo za kawaida za kumchafua mmoja na kumsafisha mwingine.

Wezi wa Nyumba za serikali wote wapo na Magufuli.
Hawezi kamwe kurudisha nyumba za watanzania kwani alishahonga hawara wake.
Hii ni aibu kubwa kumnadi mtu aliyezungukwa na mawaziri na wabunge wale wale waliomwangusha JK kwa kushindwa kuwajibika na kuwa mizigo. Eti leo wamekua wapya kwa sababu tu ya kupiga pushapu.
Huyu mtu hatufai kwani anaweza kuwa kama Idi Amini alivyowadharau walemavu na wagonjwa.

Sawa kabisa mkuu huu upuzi wa kulalamika tuuuuu huku sheria wanazo wanazo wamekaria huku wanaiba zaidi wanamsingizia mtu mmoja kati ya milioni tano Ccm bana watoke tuu
 
Ulichoandika ni zaidi ya upoyoyo,mnajidanganya na kujifurahisha huku mkijua mnajidanganya! Watu wanaifahamu Richmond tangu 2008, watu wanajua kuwa Richmond ni ya Kikwete, ndiyo maana ipo hadi leo kwa jina la Symbion, kwa nini baada ya Lowassa hamkuifilisi na kuitimua? Usipende kutumia massaburi katika kufikiri,tumia tu 0.00001% ya akili yako, itakusaidia sana kuonekana ni binadamu na si Zombie! The rest ni utumbo mtupu umeandika, kajipangeni, kwa tuhuma zote hizo halafu mnamwacha atembee huru, maana yake He is Most Powerful person in the Country, powerful than any Institution,including the presidency! Mwaka huu mmekalia msumari kwakweli!

Haaaa kwa kweli wanalo wamekaria tiiiiii
 
Hazikwi mtu hapa ni full shangwe any tme. Mtachonga sana but Lowasa ndo chaguo la waTz 1444724052997.jpg
 
Kama alikuwa muhsika au mtuhumiwa asingeruhusiwa na nec kuchukua form nyie fisiem mtasema sana sasa subirini muone hiyo kazi ya sisi malofa na mateja tereh 25
 
Ambaye sio mwizi na apite mbele ama anyooshe kidole haraka.
 
Back
Top Bottom