Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Namhurumia sana, sijui ataishi vipi baada ya huu uchaguzi, maana ushindi wa Magufuli umeshadhihirika
Nachikia ana mpango wa kukimbilia UK, atakiona cha ntema kuni.
Namhurumia sana, sijui ataishi vipi baada ya huu uchaguzi, maana ushindi wa Magufuli umeshadhihirika
Kikubwa uhai tufike sikuhiyo, uwe wahaki au la RAIS NI MAGUFULI Hakuna namnaNimeona msisitizo wako MOTOCHINI. Umeonyesha ukali kama vile wewe ndiye mpiga kura pekee. Nakuhakikishia ndugu yangu kama uchaguzi ni wa haki basi Magufuli hana kitu kabisa
Mahaba waliyokuwa nayo wanachadema kwa Lowassa yamepotea kabisa baada ya kujua yafuatayo.!
~Alijiuzulu uwaziri mkuu sababu ya skendo ya ufisadi ya Richmond Iliyokuwa ikilipwa Milion 152 kwa siku kwa muda wa siku 730 yaani miezi 24. Sasa milion 152 mara siku 730...aisee alituchapa!
~Alijimilikisha ranchi nne za taifa akiwa waziri wa maji na mifugo
~Akiwa waziri mkuu huduma ya usafiri wa reli ulizorota sababu yeye anamiliki kampuni ya GMS yenye kumiliki scania 900 hivyo kama reli ingeimarishwa angekosa dili.
~Akiwa waziri mkuu tenda za halmashauri na manispaa zote katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro za uchapaji,chakula,usafi n.k alipewa dada yake kupitia kampuni yake ya ALPHA Co. Ltd
~Akiwa mkurugenzi wa AICC aliiba mali nyingi sana ikiwa kuuza magari na ubadhirifu wa fedha kiasi cha kurudisha nyuma ukumbi ule
~Akiwa waziri mkuu alipinga wazo la kujenga bomba la gesi badala yake akaleta wazo la mvua za kutengeneza huku akiwa muuza majenereta mkubwa kupitia kampuni ya Alpha iliyokuwa ikisimamiwa na Fred ambaye ni mwanaye
~Aliwahi kumpa mwanaye paundi laki nne kwenda nchini Uingereza kununua nyumba ya kifahari katika jiji la London akakamatwa
~Kampuni za Lowassa za Barare Ltd, Intergrated property management na Alphatel partinership ziliifanya Tanzania kukosa msaada wa kibajeti 2006 toka Uingereza kwa makosa ya utakatishaji fedha zilizokuwa zikanunue jumba la kifahari London
~Anamiliki kampuni za uchimbaji madini
~Akiwa mmoja wa wanahisa wa Vodacom Tanzania ametajwa kushiriki uwizi wa zaidi ya bilion 675 taarifa iliyotolewa na gazeti la kiingereza la hapa nchini hali iliyoifanya serikali kuu kupoteza bilion 125 kama kodi.
KIUFUPI JAMAA NI EBOLA KWA NCHI. TUMPE MUDA AENDE KUSIMAMIA BIASHARA ZAKE.
Kapokee buku saba mwenye Richmond tumeshaelezwa na sumaye na mwenye malori nchi nzma tunamjua si lowasa alafu mwsho kabsa kura yangu si siri ni ya lowasaMahaba waliyokuwa nayo wanachadema kwa Lowassa yamepotea kabisa baada ya kujua yafuatayo.!
~Alijiuzulu uwaziri mkuu sababu ya skendo ya ufisadi ya Richmond Iliyokuwa ikilipwa Milion 152 kwa siku kwa muda wa siku 730 yaani miezi 24. Sasa milion 152 mara siku 730...aisee alituchapa!
~Alijimilikisha ranchi nne za taifa akiwa waziri wa maji na mifugo
~Akiwa waziri mkuu huduma ya usafiri wa reli ulizorota sababu yeye anamiliki kampuni ya GMS yenye kumiliki scania 900 hivyo kama reli ingeimarishwa angekosa dili.
~Akiwa waziri mkuu tenda za halmashauri na manispaa zote katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro za uchapaji,chakula,usafi n.k alipewa dada yake kupitia kampuni yake ya ALPHA Co. Ltd
~Akiwa mkurugenzi wa AICC aliiba mali nyingi sana ikiwa kuuza magari na ubadhirifu wa fedha kiasi cha kurudisha nyuma ukumbi ule
~Akiwa waziri mkuu alipinga wazo la kujenga bomba la gesi badala yake akaleta wazo la mvua za kutengeneza huku akiwa muuza majenereta mkubwa kupitia kampuni ya Alpha iliyokuwa ikisimamiwa na Fred ambaye ni mwanaye
~Aliwahi kumpa mwanaye paundi laki nne kwenda nchini Uingereza kununua nyumba ya kifahari katika jiji la London akakamatwa
~Kampuni za Lowassa za Barare Ltd, Intergrated property management na Alphatel partinership ziliifanya Tanzania kukosa msaada wa kibajeti 2006 toka Uingereza kwa makosa ya utakatishaji fedha zilizokuwa zikanunue jumba la kifahari London
~Anamiliki kampuni za uchimbaji madini
~Akiwa mmoja wa wanahisa wa Vodacom Tanzania ametajwa kushiriki uwizi wa zaidi ya bilion 675 taarifa iliyotolewa na gazeti la kiingereza la hapa nchini hali iliyoifanya serikali kuu kupoteza bilion 125 kama kodi.
KIUFUPI JAMAA NI EBOLA KWA NCHI. TUMPE MUDA AENDE KUSIMAMIA BIASHARA ZAKE.
Nimeona msisitizo wako MOTOCHINI. Umeonyesha ukali kama vile wewe ndiye mpiga kura pekee.
Nakuhakikishia ndugu yangu kama uchaguzi ni wa haki basi Magufuli hana kitu kabisa

HAPA KAZI TU Jamaa anatisha huyuNachikia ana mpango wa kukimbilia UK, atakiona cha ntema kuni.

sheria na haki sio kitu hicho hicho. sheria inatumika kutafuta haki (justice). sheria inaweza kugeuzwa biashara na ufisadi. mafisadi wanainunua na kuiuza. ndio maana wanajidai kuwaelekeza wananchi wanyonge waende mahakamani kutafuta haki wakijua hawana hela kuinunua.Sasa leo ni j'pili kesho j'tatu kamfungulie kesi mahakama kuu, mbona hiyo richmond inaendelea kulipwa kama ni yake:what:Hao waliokula fedha za Tegeta Escrow mbona mnawanadi kwenye ubunge:what: huyo aliyeuza nyumba za serikali mbona mnasujudia na kumpigia debe awe rais:what: hao wenye meremeta mbona bado wako ccm:what: mbona wale mawaziri mizigo kinana aliowataja mbona wako ccm na wanataka ubunge tena:what: hapo ccm wamebaki mafisadi wangapi waliotajwa kwenye list of shame:what: au ndio yale ya nyani haoni.......:what:
sheria na haki sio kitu hicho hicho. sheria inatumika kutafuta haki (justice). sheria inaweza kugeuzwa bidhaa na ufisadi. mafisadi wananunua na kuuza sheria ndio maana wanajidai kuwaelekeza wananchi wanyonge waende mahakamani kutafuta haki kupitia sheria wakijua hawana hela kununua sheria.Sasa leo ni j'pili kesho j'tatu kamfungulie kesi mahakama kuu, mbona hiyo richmond inaendelea kulipwa kama ni yake:what:Hao waliokula fedha za Tegeta Escrow mbona mnawanadi kwenye ubunge:what: huyo aliyeuza nyumba za serikali mbona mnasujudia na kumpigia debe awe rais:what: hao wenye meremeta mbona bado wako ccm:what: mbona wale mawaziri mizigo kinana aliowataja mbona wako ccm na wanataka ubunge tena:what: hapo ccm wamebaki mafisadi wangapi waliotajwa kwenye list of shame:what: au ndio yale ya nyani haoni.......:what:
Kuna kabila Tanzania hii kuwa mwizi ni sifa na kama haujawa mwizi basi wewe unaonekana ni mjinga na maisha hujayaweza.
Kabila hilo kila unapoelezea dhambi za mwizi wao ndiyo wanamuona huyo ndio mfano wa kuigwa na ndiyo kayaweza maisha.
Ukiniambia lowassa kuchukua shilingi ngapi nitakusikiliza, kama sivyo Peeepleees