Mr.Teacher
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 450
- 176
Wewe mafundisho lofa ni mama yako na baba yako shenzi mkubwa wewe
Sasa leo ni j'pili kesho j'tatu kamfungulie kesi mahakama kuu, mbona hiyo richmond inaendelea kulipwa kama ni yake:what:Hao waliokula fedha za Tegeta Escrow mbona mnawanadi kwenye ubunge:what: huyo aliyeuza nyumba za serikali mbona mnasujudia na kumpigia debe awe rais:what: hao wenye meremeta mbona bado wako ccm:what: mbona wale mawaziri mizigo kinana aliowataja mbona wako ccm na wanataka ubunge tena:what: hapo ccm wamebaki mafisadi wangapi waliotajwa kwenye list of shame:what: au ndio yale ya nyani haoni.......:what:
Elimu yako ndogo sana, sheria sio kama viroba, makosa ya jinai muda wowote ushahidi unapokamilika sheria inachukua mkondo wake. Subili then utaona matokeo yake.
Porojo za kitaaaa tu hizi
Hili zee lazima lishitakiwe hata kama mali zetu hazitarudi basi linyongwe tu.Jizi la kutupwaaa ..hivi hatutapata namna walau ya kurudisha Mali zetu hizi? make hatutaki mtu wa hivi kuendelea na majigambo wakati vitu vyoote kachuma kwetu
Mahaba waliyokuwa nayo wanachadema kwa Lowassa yamepotea kabisa baada ya kujua yafuatayo.!
~Alijiuzulu uwaziri mkuu sababu ya skendo ya ufisadi ya Richmond Iliyokuwa ikilipwa Milion 152 kwa siku kwa muda wa siku 730 yaani miezi 24. Sasa milion 152 mara siku 730...aisee alituchapa!
~Alijimilikisha ranchi nne za taifa akiwa waziri wa maji na mifugo
~Akiwa waziri mkuu huduma ya usafiri wa reli ulizorota sababu yeye anamiliki kampuni ya GMS yenye kumiliki scania 900 hivyo kama reli ingeimarishwa angekosa dili.
~Akiwa waziri mkuu tenda za halmashauri na manispaa zote katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro za uchapaji,chakula,usafi n.k alipewa dada yake kupitia kampuni yake ya ALPHA Co. Ltd
~Akiwa mkurugenzi wa AICC aliiba mali nyingi sana ikiwa kuuza magari na ubadhirifu wa fedha kiasi cha kurudisha nyuma ukumbi ule
~Akiwa waziri mkuu alipinga wazo la kujenga bomba la gesi badala yake akaleta wazo la mvua za kutengeneza huku akiwa muuza majenereta mkubwa kupitia kampuni ya Alpha iliyokuwa ikisimamiwa na Fred ambaye ni mwanaye
~Aliwahi kumpa mwanaye paundi laki nne kwenda nchini Uingereza kununua nyumba ya kifahari katika jiji la London akakamatwa
~Kampuni za Lowassa za Barare Ltd, Intergrated property management na Alphatel partinership ziliifanya Tanzania kukosa msaada wa kibajeti 2006 toka Uingereza kwa makosa ya utakatishaji fedha zilizokuwa zikanunue jumba la kifahari London
~Anamiliki kampuni za uchimbaji madini
~Akiwa mmoja wa wanahisa wa Vodacom Tanzania ametajwa kushiriki uwizi wa zaidi ya bilion 675 taarifa iliyotolewa na gazeti la kiingereza la hapa nchini hali iliyoifanya serikali kuu kupoteza bilion 125 kama kodi.
KIUFUPI JAMAA NI EBOLA KWA NCHI. TUMPE MUDA AENDE KUSIMAMIA BIASHARA ZAKE.
HATUMPELEKI MWIZI IKULU Ndugu yangu Chakaza hata ukitumia nguvu nyingi sawa na bure ikulu niya MAGUFULI awamu ya 5Hiyo Mwizi Mjanja hivi tukimpa badala ya China na US kuja kutuibia KWA mikataba yao ya hovyo yeye ndio atakuwa anawaliza
Yote yataongelewa lakini tunaomba kila atakayechukua nchi kama raisi wa awamu ya tano afanye kazi ya kusafisha mafisadi kila sekta kutoka katika madini, maliasili, umeme,bandari, mizani,ujenzi, halmashauri, idara za serikali, viwanja vya ndege, uoneaji wa wananchi na vyombo vya dola, wizi wa ardhi za wananchi, kudhulumiwa kwa mafao ya wanaostaafu, wizi katika vyombo vya ulinzi na usalama (silaha na nyaraka za kesi mbalimbali),bahari yetu, watumishi kuchanganya siasa na kazi, wafanyabiashara kutokulipa kodi stahiki, wizi katika kufanya makadirio kwa TRA, mawakala wa serikali na nchi ipate heshima na isonge mbele kimaendeleo na tusichague mgombea ambaye atakuwa kikwazo kupambana na matatizo haya maana kila mara vyombo vya habari vinaripoti ufisadi katika vyombo mbalimbali vya serikali!!
HATUMPELEKI MWIZI IKULU Ndugu yangu Chakaza hata ukitumia nguvu nyingi sawa na bure ikulu niya MAGUFULI awamu ya 5
Mpelekeni mahakamani kabla ya uchaguzi,vinginevyo amewazidi ujanja.
Hata kama ni jambazi,tunampa kura.
kupandisha vifurushi vya vodacom