englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Wakati wa utawala wa huyu mzee kulikuwa na shida sana mpaka sabuni ya kuongea/kufulia, kulikuwa hakuna.
Shida ilikuwa ni kwa wote, kitaifa. Sasa wapo wanaokula na kumwaga majalalani huku wengine wakifa njaa!Wakati wa utawala wa huyu mzee kulikuwa na shida sana mpaka sabuni ya kuongea/kufulia, kulikuwa hakuna.
Lakini akaacha hazina kubwa sana ndani ya ardhi ya nchi yetu. Mnaona inavyogombewa na manyang'au wenu wa sasa.Na aliiacha hadhina ikiwa empty kabisa kiasi kwamba Mzee Ruksa alitumia jitihada kubwa kuijaza then Ben akajineemesha! Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!