Acheni wivu wao kike (sorry madam b). Kwa wenye experiencs ya kuajili wafanyakazi wengi wanaboa sn..... kile anachotakiwa kufanya hafanyi. Siamini kwamba unafukuzwa tu bila sababu. Huyo aliyekaa miaka kumi ni bora ashukuru pia kwa kusitiriwa kwa kipindi chote hicho na sio vzr kumkashfu mtu aliyekusaidia kiasi hiko, hiyo inakuwa sawa na kunyea kambi
UNAPOSEMA ''amekusaidia''UNAMAANISHA NN?YY NDIO ANASAIDIWA BIASHARA INAKUWA.NATUMIA NGUVU AU UJUZI WNG ILI YY AFANIKIWE NA MM PIA