Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
Katika kipindi cha miaka miwili: 2005 na 2006; JK aliahidi (mengine zaidi ya mara moja) kama ifuatavyo:Good governance (accountability, corruption); electricity, education, water, infrastructure ikiwemo transport, gender, agriculture, health ikiwemo AIDS, employment ikiwemo kuboresha mishahara ya wafanyakazi, poverty reduction ikiwemo kutoa loans, security, mining, revenue/ contracts (HakiElimu, 2006 na 2007). Frequency ya ahadi hizi zote ni 52.
Je, ni mangapi kati ya haya ameyatekeleza mpaka sasa hivi; yaani yamekuwa ni historia!? Inakuwaje anayarudia tena mwaka huu kwenye kampeni zake za uchaguzi mkuu wa Oktoba 31, 2010?
Je, ni mangapi kati ya haya ameyatekeleza mpaka sasa hivi; yaani yamekuwa ni historia!? Inakuwaje anayarudia tena mwaka huu kwenye kampeni zake za uchaguzi mkuu wa Oktoba 31, 2010?