UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,328
ila n lizur k.ukwl..kitu cha bilion 7o na ushnz c mchezo!
Bilioni 7 mall ?? Sasa hiyo si Nyumba ya Sitta Mbweni au ??
ila n lizur k.ukwl..kitu cha bilion 7o na ushnz c mchezo!
Apande daladala mbili kwenda huko kufuata huduma ambayo anaipata mjini kwa kupanda daladala moja?(hapa ndipo hoja yangu ilipo)Ukweli unabaki palepale kwamba hiyo Mall ingekuwa busy zaidi kama ingejengwa town kuliko huko iliko sasa.Hata Petrol stations zinalenga hao middle class wenye magari lakini zimebanana mjini siyo Nyasaka,unadhani ni bahati mbaya tu au hawawajui wateja wao?Hicho kiherehere cha kwenda huko nakipa mwezi mmoja tu then watu wataendelea kufanya shopping zao mjini walikokuwa wanafanyia awali huko wataenda mara mojamoja mno kama picnic tu labda ma-middle class wa huko.Kama mtu anauwezo wa kupata huduma hiyo town unadhani atadrive ama kupanda daladala kuelekea huko?Ili akafanye nini? Labda masharobaro wasio na kazi.
mkuu toka jana naona umeishupalia mwanza duuh..
Hizo routes labda mpya,nyie makondakta mtakuwa mnazijua vyema.Najua routes zote zinazotokea nje ya mji zinaishia town kati then kutoka town kwenda sehemu nyingine nje ya mji ni route nyingine inayojitegemea hata kama utabahatisha daladala linalounganisha route mbili means utalipa twice.Maana ya daladala mbili ni mkazi wa Butimba au Buzuruga kulipa nauli mara mbili (nauli ya routes mbili) kufika huko iliko mall hata kama gari ni hilo hilo moja hujabadilisha.
ndugu hii confidence ya kuandika hivi umeitoa wapi??? Anyway labda mara ya mwisho kuja mwanza ilikua 2000
Mara ya mwisho nimepanda daladala kwa huo utaratibu ni June 2012.Kutoka Mkuyuni mpaka National you pay twice kwa daladala za Buhongwa-Igoma-Kishiri.I mean Mkuyuni mpaka town unalipa then town to National unalipa.Siyo mdau wa daladala tena kwani utaratibu ukoje kwa sasa?ndugu hii confidence ya kuandika hivi umeitoa wapi??? Anyway labda mara ya mwisho kuja mwanza ilikua 2000
Kutokujua mabadiliko ya routes za daladala ndo kithibitisho cha kutokuwa Mwanza?Kwani ukiwa Mza unakuwa mdau wa daladala maisha yako yote?.BTW:Kuna mahali nimeandika niko Mwanza kwa sasa?acha kuzuga ww, unavoandika tu ni dhahili haupo mwanza
Sijaitaja Kariakoo wala Posta kwenye comment yangu kwa hiyo simaanishi hicho ulichokiandika.Nisome tena upya.Na ww uwe unaacha kutudanganya unamaanisha watu wa kariakoo na posta hawaend mlimani city.....???
Unajua maana ya twice lakini?Hata kulipa two times nayo ni twice haijalishi kama kiwango ulicholipa mara ya kwanza na ya pili kinafanana au hakifanani.Kwa maana hiyo hakuna hoja uliyoweka hapo zaidi ya kuanika kiwango chako cha umbumbumbu.Achana na huyo jamaa coz hajui anaandika nini, na sijui anatokea wapi. Kwani kuongeza Mia Moja katka Mia nne leo ishakuwa twice.....!!!!!!
Sijaitaja Kariakoo wala Posta kwenye comment yangu kwa hiyo simaanishi hicho ulichokiandika.Nisome tena upya.
Ukitaka picha za upcoming projects humu utajaziwa thread.....btw hujaona malls nyingine zaidi ya Nairobi?
Kutokujua mabadiliko ya routes za daladala ndo kithibitisho cha kutokuwa Mwanza?Kwani ukiwa Mza unakuwa mdau wa daladala maisha yako yote?.BTW:Kuna mahali nimeandika niko Mwanza kwa sasa?
Hizo routes labda mpya,nyie makondakta mtakuwa mnazijua vyema.Najua routes zote zinazotokea nje ya mji zinaishia town kati then kutoka town kwenda sehemu nyingine nje ya mji ni route nyingine inayojitegemea hata kama utabahatisha daladala linalounganisha route mbili means utalipa twice.Maana ya daladala mbili ni mkazi wa Butimba au Buzuruga kulipa nauli mara mbili (nauli ya routes mbili) kufika huko iliko mall hata kama gari ni hilo hilo moja hujabadilisha.
Mall kama hizi target yake sio wapanda madaladala, target ni middle class citizens ambao kibongo bongo hawezi kukosa hata Vitz au hela ya kupanda daladala mbili at least. Hao wanaoshindwa kupanda daladala mbili waende Nyakato Sokoni au Makoroboi au lah wasubiri gulio la Jumamosi pale Nyakato.
Unaambiwa bei ya square meter moja ni dola 22 kwa mwezi floor ya chini na dola 20 ukipanda juu, kwa hiyo bei ya bidhaa nyingi humo sio kila mtu atamudu
Kutokuwa mdau wa daladala means SITUMII TENA USAFIRI HUO!!Haya achana na suala la daladala sasa turudi kwenye hii hoja yangu ya msingi,Hiyo mall ingekuwa mjini kati pangechangamka na pangekuwa busy zaidi kutokana na watu wengi ku-shop hapo tofauti na huko iliko sasa.Una maoni gani juu ya hilo?mdau wa daladala ndo kitu gan?! kiufupi we huna point kabisa katka hoja yako, kutoka nyegezi kwenda ghana ilipo mall nauli ni 500, kutoka buswelu wilayani kwenda mjini kati nauli ni 500, kutoka igombe kwenda mjini kati nauli ni 600, kwa maelezo hayo mafupi hoja ya gari mbili na kulipa mara mbili ni mufilisi
Kutokuwa mdau wa daladala means SITUMII TENA USAFIRI HUO!!Haya achana na suala la daladala sasa turudi kwenye hii hoja yangu ya msingi,Hiyo mall ingekuwa mjini kati pangechangamka na pangekuwa busy zaidi kutokana na watu wengi ku-shop hapo even late evening baada ya muda wa kazi tofauti na huko iliko sasa.Una maoni gani juu ya hilo?