Haya ya kweli kuhusu Rock City Mall?

Haya ya kweli kuhusu Rock City Mall?

Ni kweli... Kwa Afrika Mashariki, Rock City Mall ni kubwa na ya kifahari kuliko zote asee... Hongera kwa LAPF wamebuni kitega uchumi bora mno
 
Mall kama hizi target yake sio wapanda madaladala, target ni middle class citizens ambao kibongo bongo hawezi kukosa hata Vitz au hela ya kupanda daladala mbili at least. Hao wanaoshindwa kupanda daladala mbili waende Nyakato Sokoni au Makoroboi au lah wasubiri gulio la Jumamosi pale Nyakato.

Unaambiwa bei ya square meter moja ni dola 22 kwa mwezi floor ya chini na dola 20 ukipanda juu, kwa hiyo bei ya bidhaa nyingi humo sio kila mtu atamudu

Wenye akili timamu waliliona hili mapema wajuaji mkaleta ngonjera kama kawaida.

Kiko wapi sasa?

Mall wanaikimbia wafanyabiashara kisa hakuna wateja nendeni basi nyie middle class wenye vitz mkaokoe jahazi.

Mall itageuzwa mabanda ya kufugia kware soon.
 
hivi kutoka hapo ghana hii mall ilipo hadi town unajua ni umbali gani kiasi kwamba useme haiwezi changamka?? Hivi unajua mall imezungukwa na maeneo ya watu wa caliber ipi??? Kwahiyo ina maana hata mlimani city hapo dar ilipo haifai ulitaka iwe town palipochangamka??

Vipi Mkuu?

Mall inakimbiwa na wafanyabiashara kisa hakuna wateja na kuna hatari kugeuzwa mabanda ya kufugia kware.

Una maoni gani?

Ujuaji mwingi mbele giza.
 
Iyo mall kwa kanda ya ziwa inaonekana kubwa nzuri sana tatizo mnapoanza fananisha na mall za nairobi ndio mnapoanza kukosea ,the issue is not bigmall ,concern is about package that's why mliman city is kinda cool simply b'se of service they offer
 
Loh hii mall mbona ya kawaida sana, huu ushamba wa kuishia nyegezi tuu na butimba
 
Ndiyo ni kweli Rock city mall ni jengo la kisasa na ni kubwa la kifahari .Mliman city inaingia Mara mbili kwa ufahari na ukubwa wake ukitaka kuproove njoo MWANZA ujionee mwenyewe
Yaelekea hujawahi kuona mlimani city hata kwenye picha
 
Bora tu kina ngosha na wao wapate pakupigia picha walau wapungue round about ya samaki pale
 
Bora tu kina ngosha na wao wapate pakupigia picha walau wapungue round about ya samaki pale
hiviii ww unawajua watu wa mwanza city na ushawai fika ata mwanza city??? au unadhani wanashobokea daslam kama ww ulietokaaa kijijini kwenu na kukimbilia uko kongowe...mvuti....chanika... kwenda kujificha huko ili eti kisa na ww uonekane wa daslam...mwanza hatubabaishwi na wakuna nazi wa dar kila kitu kilichopo dar huku pia kinapatikana....na hatubebwi kama uko dar mnavyobebwa na serikali na ngojeni serikali ihamie dodoma tuwaone poyoyo zenu zitaishia waap sasa kwa taarifa yako wanaoongoza kupiga picha kwenye samaki wengi mnatoka uko kwenu dar ambapo mnaona maajabu mfano wa sanamu la samaki linalotoa maji mdomoni mana mlikotoka mmezoea pweza na umbea tu sio toto la kike sio toto la kiume
 
Iyo mall kwa kanda ya ziwa inaonekana kubwa nzuri sana tatizo mnapoanza fananisha na mall za nairobi ndio mnapoanza kukosea ,the issue is not bigmall ,concern is about package that's why mliman city is kinda cool simply b'se of service they offer
nairobi cha mtoto labda joberg au paris mkuu,
 
Wasukuma bhana,Okay ,Hiyo mall huko mwanza ni sawa na soko la kiboroloni tu,Na ni kwa ajili ya midlle and upper class,ninyi wa chini msianze kulalama bei nendeni makoroboi
 
Vipi mall inaendeleaje..? Biashara imechangamka au bado yale yale kama ilivoanza...?

0404
 
hiviii ww unawajua watu wa mwanza city na ushawai fika ata mwanza city??? au unadhani wanashobokea daslam kama ww ulietokaaa kijijini kwenu na kukimbilia uko kongowe...mvuti....chanika... kwenda kujificha huko ili eti kisa na ww uonekane wa daslam...mwanza hatubabaishwi na wakuna nazi wa dar kila kitu kilichopo dar huku pia kinapatikana....na hatubebwi kama uko dar mnavyobebwa na serikali na ngojeni serikali ihamie dodoma tuwaone poyoyo zenu zitaishia waap sasa kwa taarifa yako wanaoongoza kupiga picha kwenye samaki wengi mnatoka uko kwenu dar ambapo mnaona maajabu mfano wa sanamu la samaki linalotoa maji mdomoni mana mlikotoka mmezoea pweza na umbea tu sio toto la kike sio toto la kiume
Huu mchezo hauhitaji hasira mkuu...relax
 
Aliyesema amewahi kufika nchi gani za Afrika ya Mashariki na kati achilia mabli na mikoa ya Tanzania?
 
Back
Top Bottom