KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,096
- 40,750
Hii Mall ni nzuri na inavutia kweli sipokuwa mahali na mji ilipojengwa.....
Kiukweli jiji la Mwanza kibiashara kama hizo bado sana hasa ukizingatia hali za vipato za waliowengi ni cha chini sana....
Ni jiji lenye mzunguko mdogo wa pesa......
Ni sawa na kuuza pizza na burger manzese....au tandale.....