Haya waziri wa Utalii na Mali Asili Ajiuzulu

jamani naomba waziri wa Hii wizara ajiuzulu Hapa tumekamata pembe 700 nipo Malysia Zilikuwa zinaenda China hazina kibali ↲
Nawasilisha

Nimesikia BBC wamesema tan 1000 zimekamatwa maleysia zikielekea china
 
usalama wa taifa wako busy kupanga mvinu za kummaliza lema, huku kwenye maswala ya kitaifa ya kizidi kuhalibika...
 
Wataunda tune ya uchunguz na watasema dna inasema si tembo wa tanzania,we huwajui hawaaa????&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;
<br />
<br />
jamani tuwaache wauze wanyama wote huko porini wakiisha watajiuza na wenyewe
 
Back
Top Bottom