Haya waziri wa Utalii na Mali Asili Ajiuzulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya waziri wa Utalii na Mali Asili Ajiuzulu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Janja PORI, Sep 6, 2011.

1. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#1
Sep 6, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45
jamani naomba waziri wa Hii wizara ajiuzulu Hapa tumekamata pembe 700 nipo Malysia Zilikuwa zinaenda China hazina kibali ↲
Nawasilisha

2. TIMING

TIMING JF-Expert Member

#2
Sep 6, 2011
Joined: Apr 12, 2008
Messages: 21,837
Likes Received: 125
Trophy Points: 160
Ajiuzulu aliyemteua

3. pangalashaba

pangalashaba JF-Expert Member

#3
Sep 6, 2011
Joined: Jan 10, 2011
Messages: 1,080
Likes Received: 879
Trophy Points: 280
Source haijajitosheleza...

4. NGULI

NGULI JF-Expert Member

#4
Sep 6, 2011
Joined: Mar 31, 2008
Messages: 4,812
Likes Received: 31
Trophy Points: 135
Nilijuwa tayari kajiuzulu, kumbe unamtaka ajiuzulu? Mmekamata nyie na kina nani?

5. g

gambagumu JF-Expert Member

#5
Sep 6, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 699
Likes Received: 296
Trophy Points: 80
hebu leta habari kwa kina ieleweke vizuri ..una hakika zinatoka tz

6. B

Bajabiri JF-Expert Member

#6
Sep 6, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Kwa ujumla hakuna sheria ambayo inaruhusu biashara hiyo,,,,unakumbuka tanzania walikataliwa kuuza pembe????

7. B

Bajabiri JF-Expert Member

#7
Sep 6, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Kweli mdau,,,,,,itaundwa tume hapooooooo

8. B

Bwana bonny Member

#8
Sep 6, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 26
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
BBC wametangaza jioni hii

9. AirTanzania

AirTanzania JF-Expert Member

#9
Sep 6, 2011
Joined: Mar 17, 2011
Messages: 1,127
Likes Received: 678
Trophy Points: 280
Sio ajiuzulu pekee haistoshi anyongwe na yeyey na aliyemchagua

10. n

nchasi JF-Expert Member

#10
Sep 6, 2011
Joined: Nov 20, 2010
Messages: 525
Likes Received: 67
Trophy Points: 45

lete source basi mbona habari inaelea tu juujuu!

11. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#11
Sep 6, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45
Mnataka source mi mwenyewe Ila ambao mpo Tz BBC SWAHILI WATATANGAZA

12. B

Bajabiri JF-Expert Member

#12
Sep 6, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Janja,hapa tanzania wanyama wapatao 116 wametoroshwa wakiwa hai,,,,,na hakuna lolote,sembuse pembe zilizokamatwa malaysia???????SAHAU,zile za vietnam??????zimeishia wapi????

13. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#13
Sep 6, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45

du una maana Mh kikwe Ajitundike

14. Bigirita

Bigirita JF-Expert Member

#14
Sep 6, 2011
Joined: Feb 12, 2007
Messages: 13,976
Likes Received: 688
Trophy Points: 280
mkuu, tukiwaambia makuwadi wa hawa magamba hapa jamvini wawashauri mambwana zao waache wizi huu kwani siku si nyingi mwanga utaonekana, wao wanataka kuongelea mavazi ya cdm, wanataka kuongelea watu na sio issue......ni wazi kuwa wanapata ujira wao, lakini adhabu kwa mabwana zao itakuwa sawa sawa na adhabu kwao.
Ritz, ngongo, ff, kishongo, mwita wa clouds, rejao na kenge wengine. Wake up!

15. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#15
Sep 6, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45

hivi Nyumbani tanzania hakuna Usalama wa taifa

16. n

nchasi JF-Expert Member

#16
Sep 6, 2011
Joined: Nov 20, 2010
Messages: 525
Likes Received: 67
Trophy Points: 45
Fanyeni mpango wa kuuza hukohuko muambulie chochote, mkileta huku bado hamtasaidia kitu maana hawa wa2 wameshaiuza nchi kwa faida yao pekee. Ukizileta huku watauza tena kwa bei ya kutupwa, uzeni tu na nyie mpate mgao wa rasilimali za TZ.

17. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#17
Sep 6, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45

kaka kwa macho yangu nimehakisha ni za Tz tulia niwaletee data kamili

18. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#18
Sep 6, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45

Bora umeskia Maana wangeona nimezusha

19. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#19
Sep 6, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45
Subiri Aljazeera Swahili ndo mtapata Data Vyombo vya habari Tz c aft Money

20. kichomiz

kichomiz JF-Expert Member

#20
Sep 6, 2011
Joined: Feb 28, 2011
Messages: 11,999
Likes Received: 2,655
Trophy Points: 280

Hakuna mkuu ila kuna usalama wa CCM NA MAFISADI TU.

Loading...