haya wazazi,kazi kwenu!!!

haya wazazi,kazi kwenu!!!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
2,000
Mtoto wa kwenye daladala akienda shuleni anaimba:
Baba angekuwa jogoo na mama angekuwa tetea mimi ningekuwa kifaranga eeeh...
Baba angekuwa beberu na mama angekuwa mtamba mimi ningekuwa ndama....uuuuuuuh...
Baba angekuwa nyoka dume na mama jike mi ningekuwa nyoka...Ooooh...

Ghafla konda akamkatisha:
Kelele wewe kitoto!Wewe unadhani baba angekuwa jambazi na mama changu ungekuwa nani?

Mtoto:...Uuuuuuuh...Baba angekuwa jambazi na mama changu mimi ningekuwa KONDA...uuuuh...

SHULENI:
Mwalimu:We mtoto,mimi nikikupa sh.3000 na baba akakupa 2000 utakuwa na sh.ngapi jumla?
mtoto:3000 mwalimu!
Mwalim 😛umbavu, Lala chini,unakosa hata hesabu rahisi kabisa?
Mtoto:Hapana mwalimu;baba kamwe hawezi kunipa hela!!!!!!!!!!!
 
leo nilikwa nina mawazo meni sana, kwa hiyo sikuwa na furaha kabisa ila kwa hii ktu nimecheka sana...
 
Du unatisha mkuu! Huwa sikomenti jokes ila let me share dis one
 
Mtoto wa kwenye daladala akienda shuleni anaimba:
Baba angekuwa jogoo na mama angekuwa tetea mimi ningekuwa kifaranga eeeh...
Baba angekuwa beberu na mama angekuwa mtamba mimi ningekuwa ndama....uuuuuuuh...
Baba angekuwa nyoka dume na mama jike mi ningekuwa nyoka...Ooooh...

Ghafla konda akamkatisha:
Kelele wewe kitoto!Wewe unadhani baba angekuwa jambazi na mama changu ungekuwa nani?

Mtoto:...Uuuuuuuh...Baba angekuwa jambazi na mama changu mimi ningekuwa KONDA...uuuuh...

SHULENI:
Mwalimu:We mtoto,mimi nikikupa sh.3000 na baba akakupa 2000 utakuwa na sh.ngapi jumla?
mtoto:3000 mwalimu!
Mwalim 😛umbavu, Lala chini,unakosa hata hesabu rahisi kabisa?
Mtoto:Hapana mwalimu;baba kamwe hawezi kunipa hela!!!!!!!!!!!

Umetisha apo, AM SO FAMOUS!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom