Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Shabiki wa soka nchini Kenya ambaye ni fan wa kutupa wa Man United John Macharia amejiua wikiendi hii akijirusha kutoka ghorofa ya saba katika Apartment anayoishi baada ya timu yake ya Manchester United kufungwa na Newcastle siku ya Jumamosi