Haya tena nakodisha mbwa huyo kwa mwenye kutaka Dola 20 kwa siku. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya tena nakodisha mbwa huyo kwa mwenye kutaka Dola 20 kwa siku.

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 28, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Unamkodisha ili afanye nini kilichojificha?
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  mkuu Father of All Ninamkodisha mbwa akulindie nyumba kwa wezi na shamba kama unalo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huku niishiko hawa jamaa huwa wanafanya kazi nyingine tofauti na ulinzi. Mambo ya wizi ni kwenu huko kwa mafisadi. Niishipo neno wizi ni msamiati na afanye wizi anaonekana ana ugonjwa wa akili. Mbwa mwenye naona kama pet na anavyokuwa pampered it is more than that Mkuu Mzizimkavu.
   
 5. d

  demulikuy JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 703
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  Kwetu ni kitoweo. kiduva duva mu ng'asi
   
 6. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama siyo kwa kazi ya ulinzi, naanza kupata wasiwasi sasa.
   
 7. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hapo unaweza kuta ni mume na mkewe, wazungu bwana hawafai hata kidogo. disgusting, samahanini lakini.
   
 8. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu wala hujakosea, hawa watu ni wa ajabu sana
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Sasa anakodishwa kama ajira ama? Manake kama ni ulinzi si unahitajika siku zote?
  haki za wanyama zinahusika hapa dr!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...