masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,898
- 15,126
Na ndio hapo sasa, rais wa kuendeleza dhiki na matope!zitoke wapi??
Mbeya ni nchi na Sugu ndo raisi.
Mzee, ukiwekewa picha za baadhi ya sehemu za Dar es Salaam utasema Tanzania hakuna jiji kabisa iwapo kigezo ni kama hicho.
View attachment 112098Kidumu chama fulani!!
Hapo mitaa hii barabarani pale Mwanjelwa, Tanzania Zambia highway,wafuasi wa Sugu wengi kwa kwenda mbele.
Na ndio hapo sasa, rais wa kuendeleza dhiki na matope!
Usiwe na wasi wasi ndugu, kesho ntakuletea taswira ya katikati ya " city" , jiji letu ambalo ni kijiji.
Wakati huo huo katika Jiji kama Mwanza na Arusha NSSF, na mashirika mengine wana shindana kujenga.
Sugu tusaidie.
Mweeh kukajha...
Halafu hii timu ya Mbeya City ina matingoooo, nusu iiadhiri Yanga.
Wengine wanafikiri tunamchukia Sugu, la hasha.
Yansyotuchukiza ni kama hays kwenye picha hixi, ndiyo mambo ambayo mbunge makini angepaswa kuyawekea mikakati.
Mbona Mnyika anashughulika sana na hata wana CCM Ubungo wanamkubali.
Tukufwa ni soni!!
Na ndio hapo sasa, rais wa kuendeleza dhiki na matope!