haya sio mandamano ni msafara

Sasa ndio naamini kabisa beyond any reasonable doubt kuwa bwa.figa ni kibopa fulani na kazi yake inainvolve kusafiri sana nchini..

uko fit kwenye inteligensia,au huenda yuko karibu na hao vibopa,unajua ata hawa vibopa wamechoshwa na kejeli za hii serikali basi tu.
 
Waache watanue mara ya mwisho maana 2015 wananchi watachukua nchi yao na kupata Uhuru. Ama kweli CCM ya sasa ni aheri ya Mkoloni.
Na wamelitambua hilo kwamba 2015 ni zamu ya wananchi kuchukua nchi ndo mana sasa hivi wanamalizia kwa fujo.
 
Back
Top Bottom