Haya sasa,wenye washkaji ughaibuni!

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Ule muswaada ulikuwa ukisubiriwa kwa hamu wa ppra wa kununua used,scrapper,recondtion na maneno mengine yenye kufanana na hayo ruksa! Ilikuwa tangu zamani lakini kimya kimya! Lakini sasa,ruksa wala usihofu.kichwa cha tereni cha mwaka 1920 ili mradi kinatembea,lete kuwabeba watanzania.tumeweza,tumethubutu na sasa tunasonga mmbel! Sasawasawa!
 
Nakushangaa kwan watanzania kwa kujifanya wajuzi wa mambo hamjambo wkt hata koroboi bila makopo ya ulaya hamuwez,we mwenyewe kuanzia juu mpk chini umevaa used pmj na msosi uenda ukawa umekula msosi uliochanganywa na wajana gengen kwani umepungukiwa nin?au kwakua umenunua kwa hela yko?
 
Kama used wamekubali sitoshangaa pindi watakapopitisha lile la kameroon kwani ccm wanaonyesha wako kimaslahi zaidi kuliko kulinda na kutunza utamaduni wa mtanzania na maisha ya mtz kwa ujumla kwani kama wakinunua treni au ndege ilotumika si hivi vitu vitatuuwa sisi wenyewe
 
Back
Top Bottom