Haya sasa ngoja Tuzungumzie Maendeleo. Tuanze na Budget 2016/2017

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Watanzania wenzangu hebu njoeni hapa tuzungumze mambo ya kimaendeleo zaidi. Leo ningependa tuzungumzie budget ilyobakiza mwezi moja na nusu kuisha.

Mi ningependa kujua.
Hivi ule mkopo wa trillion 2.1 ambazo Serkal ilizunguka nchi za nje kuomba ilifanikiwa kupata?

Mi ni hilo tu.

From. Kijana mtiifu wa Magufili
 
Mimi wasiwasi wangu ni kwenye mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu, sijui mwaka huu tutakopesha wangapi hawa vijana, sijui. Ni mashaka matupu
 
Watanzania wenzangu hebu njoeni hapa tuzungumze mambo ya kimaendeleo zaidi. Leo ningependa tuzungumzie budget ilyobakiza mwezi moja na nusu kuisha.

Mi ningependa kujua.
Hivi ule mkopo wa trillion 2.1 ambazo Serkal ilizunguka nchi za nje kuomba ilifanikiwa kupata?

Mi ni hilo tu.

From. Kijana mtiifu wa Magufili

Mtoa mada una njama za kutuondoa tumsahau BASHITE.

Bajeti.jpg

Ari Mpya Kasi Mpya.jpg
 
Vyeti vya bashite viko wapi kwanza? Hayo mengine waachie wabunge.
Kama kweli wewe ni mtiifu kwa mkulu kwanza ungemsifu kwa kutomtumbua muhusika wa bandari mpaka yeye mkuu ndiye kabaini uovu huo ili hali muhusika hajui.
Ova
Sanaa juu ya sanaa
 
Back
Top Bottom