Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,755
- 29,301
World bank - uchumi wa Tz unakua kwa 7%.
AFDB- uchumi wa Tz unakuwa kwa 7%.
IMF - Uchumi wa Tz unakuwa kwa 4%.
Hapo nyumbu na Zitto watakuambia data sahihi ni zile tu ambazo hazionyeshi kuna maendeleo Tz.
HahaaUnajitekenya kisha unajiangusha kwa kicheko kikubwa sana
Wana shangazaMna nini cha mno mpaka mhujumiwe?
Hawampendi kiongozi wa sasa 'Raisi Magufuli'na nini lengo lao?
Mkuu nenda kwenye jumba la makumbusho pale London utaikuta. Hiyo yako ndiyo ya kuedit jaribu pia kumsearch huyo aliyekotiwa utajua alitembelea wapi mwaka 1835 mkuu.Hahaha, kaka hii article iko edited hii stori ni kuhusu India sio Afrika, Afrika wakati huo bado tunavaa ngozi, tunawinda na mishale na mikuki, sasa omba omba atokee wapi...
View attachment 1098718
Cha msingi taasisi za usalama wa nchi ziwe makini hii ni vita ya kiuchumi kama alivyosema ,Hawampendi kiongozi wa sasa 'Raisi Magufuli'
Wanaona njia ya kumwangusha Magufuli ni kuhakikisha hafanikiwi kiuchumi ikibidi hata kwa kuhujumu Taifa 'ikiwemo kwa kuchezea macroeconomic variables'
Walichezea exchange rates wakabainika sasa wamehamia kwenye economic growth (GDP)
The quote is fake. Lord Macaulay did not address the British Parliament in 1835 or has not made any such statement.Hahaha, kaka hii article iko edited hii stori ni kuhusu India sio Afrika, Afrika wakati huo bado tunavaa ngozi, tunawinda na mishale na mikuki, sasa omba omba atokee wapi...
View attachment 1098718
Mh hapo kwa world bank..namashaka napo. According to last report hawakusema 7%..
It was something else
Pesa za ujanja ujanja ni kweli hazipo,za halali zipo mkuu,tena nyingi sana tu
Tangu Jiwe ameingia ikulu tunaambiwa uchumi unakua kwa 7%. Miaka minne sasa, uchumi unakua kwa 7% . Naomba nielimishwe hapa, huu uchumi unakua, umesimama au umelala!!!World bank - uchumi wa Tz unakua kwa 7%.
AFDB- uchumi wa Tz unakuwa kwa 7%.
IMF - Uchumi wa Tz unakuwa kwa 4%.
Hapo nyumbu na Zitto watakuambia data sahihi ni zile tu ambazo hazionyeshi kuna maendeleo Tz.
Nani aliyekwambia Tanzania ni masikini?IMF inaweza kuhujumu nchi maskini kama hii Tanzania?
Na wamefanikiwa 93%Wazungu wamekuwa wakihujumu Afrika tangu karne ya 17 mkuu cheki hapa chini.View attachment 1098686
hatulipwi mshahara in time?Sio pesa ujanja.. hata mm nilieko serikalin japo si kwa sana.. lakin na experience uchum kuwa mfinyu.
Tuwche kudanganyana kuwa ni pesa za ujanja maana hata polis wenyewe wanatafuta wa kuwakamua hela daily...
Amakweli akili ni nywere yaani unailinganisha IMF na ADB?Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,
Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.
Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.
Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.
Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .
Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
AfDB wenyewe wanategemea IMF, WB, n.k. unatarajia kweli takwimu zao ziwe bora kuliko za taasisi hizo za kidunia?Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,
Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.
Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.
Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.
Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .
Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
Unajitekenya kisha unajiangusha kwa kicheko kikubwa sana
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,
Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.
Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.
Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.
Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .
Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
IMF inaweza kuhujumu nchi maskini kama hii Tanzania?
Mna nini cha mno mpaka mhujumiwe?