Penzi haligawanyiki......kwanini bi wadogo wengi wao wanadharau wake wa kwanza???anajua kabisa mapenzi yamepungua ndo maana kaletwa yeye.
Zamani ipi hyo?????wengi wetu watu weusi hatupo wazi katika mabo yetu na zaid kupenda kuzunguka mbuyu.......!!!!!
mmmmmmmmmmmh
Kukosa uaminifu ni kudeviate kutoka kwenye mkataba. Kama mmeshakubaliana ni open marriage, mke na mume wakiwa na haki sawa, basi hapo uaminifu haujavunjwa. Ila shida ni pale ambapo mmoja anajipa haki ya kuwa kwenye open marriage na huku akiona mwenzie hana haki hiyo. Mimi huwa nafikiria, siku paw akiniletea mke mwingine, nitapata wapi mwanaume mwenye courage ya kuja hadharani kama mume wangu wa nje? Wanaume hawana ujasiri wa kike kabisaa.
hata kama ni hivyo ila si unajua kuna kitu kinaitwa globalization na effect mojawapo ni INTERFERENCE OF CULTURE tutabadilika tu!
Vp shost utaghaili ili naniii yetu????
sighairi wala nini msimamo wangu ni ule ule mwanzo mwisho
mbona umenza na negativity kibao eti kuna mijitu humu ndani lol..........
mbona wapo weengi tu
we omba ruksa uone
haa haa sababu kuna threads nyingi watu huwasifia wazungu kwa
kutokupenda wapenzi wengi..
so leo tunaona ushahidi mwingine
na wewe unawaaamini wazungu pia?