Ahahaha, unaweza volunteer? Wanaume waoga sana aisee. Wanawake tuna kifua, hatukawii kulala kwa mtu alieoa na ukiingia ndani sijui unabdili bedsheets mwenyewe ama unalalia ulizokuta? Mweeh
Hapa sidhani kama ni uoga wala ujasiri,tatizo ni "intensity and magnitude" ya tifu la mwanamke na mwanaume,,,,,,,
Madhara ya tifu la mwanaume na mwanamke siyo sawa.
Ahahaha, unaweza volunteer? Wanaume waoga sana aisee. Wanawake tuna kifua, hatukawii kulala kwa mtu alieoa na ukiingia ndani sijui unabdili bedsheets mwenyewe ama unalalia ulizokuta? Mweeh
Jiandae
me and my wife tutaku invite soon u move in with us
Penzi haligawanyiki......kwanini bi wadogo wengi wao wanadharau wake wa kwanza???anajua kabisa mapenzi yamepungua ndo maana kaletwa yeye.
Ukisoma hiyo link utaona jamaa ana mke wa miaka 12
na sasa ana girlfriend wanaishi pamoja
kabla ya girlfriend huyu aliwahi kuwa na girlfriend mwingine aliishi nae na mkewe
but akamuacha huyo mwingine..
so we ukiwa mke ,girlfriend wanaweza kuja na kukuacha tu...
Una maanisha nini ikija bongo. Wakati hii kitu ina kusa practised toka enzi za mababu. Mara ngapi wanawake wansruhusu waume zao kuoa wake wengine na kuishi nso nyumba moja. Hivi unafikiri hii ni tofauti na kuoa wake wawili wa3 wa4 etc.Hi ikija bongo itasaidia watu wasi uwane hovyo hovyo
Believe you me hicho kifua cha kwenda na kuingia kwenye nyumba za watu wanatupa hao hao wanaume. hauwezi hata siku moja ukakakurupuka mpaka nyumbani kwa watu let alone kwa bedroom bila mualiko. unakuta mtu analetwa na watoto wanaambiwa eti salimia auntie. Mbuzimawe (not u King'asti) so annoying
Hahaha sasa si ndio uoga wa tifu? Wewe unajua tifu la mwanamke? Anaweza kukumwagia maji ya moto atii
Naunga mkono hoja......hiyo mambo iishie huko huko
isije tanzania yetu
Kuna kitu kipya kwa wenzetu kwenye hizo open marriages
kinaitwa POLYAMORY... Kwa ufupi ni kuwa mna ndoa kama kawa
na mna sex kama kawa lakini mume au mke anaweza kuwa
na mpenzi mwingine ambae anatambulika rasmi na sikunyingine
ana lala hapo kwenu na hata kuhamia ikibidi
na kuna mijitu humu inasemaga wazungu sijui waaminifu
sasa someni hii muone.....na jinsi waafrica tunavyowaabudu
wazungu itakuja tu bongo soon...
Couple Has An Open Marriage So Complicated, It's Hard To Keep Track
Believe you me hicho kifua cha kwenda na kuingia kwenye nyumba za watu wanatupa hao hao wanaume. hauwezi hata siku moja ukakakurupuka mpaka nyumbani kwa watu let alone kwa bedroom bila mualiko. unakuta mtu analetwa na watoto wanaambiwa eti salimia auntie. Mbuzimawe (not u King'asti) so annoying
Kaka kwanza kwenye suala la uaminifu hapo bado upo. Kwa tafsiri ya uaminifu hapo haujavunjwa kwa sababu kuvunja uaminifu ni kwenda kinyume na makubaliano lakini kama mmekubaliana sioni kama kuna kukosa uaminifu. Suala la msingi ni kuwa hii ni mitala pia ila sasa tukifanya sisi waafrika tunaonekana wa ajabu. Kwa mfano mimi wamarekani huwa siwaelewi kwenye suala la ndoa na uhuru. katiba inasema kila mtu ana uhuru wa kufanya apendavyo hapo hapo inazuia ndoa za mitala sasa uhuru uko wapi??? Halafu mbaya zaidi "three some" inaruhusiwa lakini mitala BIG NO!!!!