Haya sasa kuna POLYAMORY...KUMBE....

Haya sasa kuna POLYAMORY...KUMBE....

NAJARIBU KUIMAGINE!
nimekupeleka The Boss home
af kitu kwa zamu?
ehehhehehheheh my evil mind!
kabla ya hii kitu kuja huku asee mawakili wahakikishe kila mwanaume wa kitanzania ameandika wosia!
kwa wanawake sina shaka sana tushazoea sie!VIFUA TUNAVYO ATIIIII!
 
Last edited by a moderator:
NAJARIBU KUIMAGINE!
nimekupeleka The Boss home
af kitu kwa zamu?
ehehhehehheheh my evil mind!
kabla ya hii kitu kuja huku asee mawakili wahakikishe kila mwanaume wa kitanzania ameandika wosia!
kwa wanawake sina shaka sana tushazoea sie!VIFUA TUNAVYO ATIIIII!

nikianza mimi mumeo anaweza alie kwa hasira..
 
Kaunga ntamuambia idea hii tukualike siku moja ...nyumbani

ah nialikeni chumbani tu nyumbani sitaki! Kaunga thio mimi ujue ni huyu mumeo ndo ananisololea hapa
ahahahhahah threesome guruuuuuuu unaskia raaah kupata wafuasi hapo!
 
Last edited by a moderator:
Duh! Siajabu akiishi kwako huyo mchumba na unalala naye kitanda kimoja wote watatu na game mnapokezana. Wazungu ni machizi.
 
Kuna kitu kipya kwa wenzetu kwenye hizo open marriages

kinaitwa POLYAMORY... Kwa ufupi ni kuwa mna ndoa kama kawa
na mna sex kama kawa lakini mume au mke anaweza kuwa
na mpenzi mwingine ambae anatambulika rasmi na sikunyingine
ana lala hapo kwenu na hata kuhamia ikibidi

na kuna mijitu humu inasemaga wazungu sijui waaminifu

sasa someni hii muone.....na jinsi waafrica tunavyowaabudu
wazungu itakuja tu bongo soon...

Couple Has An Open Marriage So Complicated, It's Hard To Keep Track

Ishafika The Boss, Isome hapa imetokea Kigogo jana kwenye Heka heka wameiibua:-
http://swahilione.blogspot.com/2013/11/mke-aishi-na-wanaume-wawili-ndani-ya.html
 
Kuna kitu kipya kwa wenzetu kwenye hizo open marriages

kinaitwa POLYAMORY... Kwa ufupi ni kuwa mna ndoa kama kawa
na mna sex kama kawa lakini mume au mke anaweza kuwa
na mpenzi mwingine ambae anatambulika rasmi na sikunyingine
ana lala hapo kwenu na hata kuhamia ikibidi

na kuna mijitu humu inasemaga wazungu sijui waaminifu

sasa someni hii muone.....na jinsi waafrica tunavyowaabudu
wazungu itakuja tu bongo soon...

Couple Has An Open Marriage So Complicated, It's Hard To Keep Track

Hizi habari zimekuwepo tangu ancient Greece na kabla.

Hata kwetu, jamii traditional za kimasai ukirudi nyumbani ukakuta kuna mkuki umeketwa on the ground nje ya boma unajua kuna mwanamme anamshughulikia mkeo, unasepa nyumba ndogo na wewe. Hamna haja ya kuuana.

Nothing new, nothing specific to a particular ethnicity.

Monogamy is an overrated utopia.
 
Kukosa uaminifu ni kudeviate kutoka kwenye mkataba. Kama mmeshakubaliana ni open marriage, mke na mume wakiwa na haki sawa, basi hapo uaminifu haujavunjwa. Ila shida ni pale ambapo mmoja anajipa haki ya kuwa kwenye open marriage na huku akiona mwenzie hana haki hiyo. Mimi huwa nafikiria, siku paw akiniletea mke mwingine, nitapata wapi mwanaume mwenye courage ya kuja hadharani kama mume wangu wa nje? Wanaume hawana ujasiri wa kike kabisaa.

wapo wengi nshashuhudia zaidi ya mmoja right button inahusika
 
stop-stop_jokideo_large.jpg
 
288px-Polyamory-flag.svg.png

Flag descritpion from http://www.isomedia.com/homes/jene/flag.h:
The poly pride flag consists of three equal horizontal colored stripes with a symbol in the center of the flag. The colors of the stripes, from top to bottom, are as follows:
BLUE, representing the openness and honesty among all partners with which we conduct our multiple relationships; RED, representing love and passion; and BLACK, representing solidarity with those who, though they are open and honest with all participants of their relationships, must hide those relationships from the outside world due to societal pressures. The symbol in the center of the flag is a gold Greek lowercase letter 'pi', as the first letter of 'polyamory'. The letter's gold color represents the value that we place on the emotional attachment to others, be the relationship friendly or romantic in nature, as opposed to merely primarily physical relationships.
 
Back
Top Bottom