Haya sasa kumekucha tena!!!!!

Sangoma wana masharti, huchelewi kusikia kalete mabega ya nyoka.
 
Duniani kuna mambo hii laana wanawake wameisha au tuamini nini sasa.
 
Wahindi bwana,afu wakija kwetu huku wanajimanua na kunyanyasa employees,to hell
 
Lakini kwa nini huyu bwana amefunga ndoa ya aina hii?

Amechoshwa na usaliti wa wanawake so ameamua kujiopolea ki Dog chake ammbacho anaamini hakitamsaliti kwa njia yoyoye ile.
 
Kuch kuch hana maana kwanza kachoka halafu analeta kituko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…