Haya sasa kumekucha tena!!!!!

Haya sasa kumekucha tena!!!!!

Mambo ya Walawi 18:23 Wala usilale na mnyama yeyote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko.
Kumbukumbu La Torati 27:21 Na alaaniwe alalaye na mnyama wa aina yo yote. Na watu wote waseme, Amina.

Kumbe ni dhambi ya tokea enzi hizo!!!!!!!!!!!!
 
Ni lazima sasa tujue kuwa ulimwengu wa roho(spiritual world) ndo una drive dunia. The Devil has its part and Jesus has his tasks taking place on earth too. Haya yote ni matokeo ya hizi nguvu mbili. Ukilijua hili mambo kama haya na mengine meeengi yatarajiwayo hayatasumbua akili yako
 
Back
Top Bottom